Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We katika vita ya kiuchumi, hii siyo kitu kigeni, baadae mnakaa meza moja ya mazungumzo mnaweka deal la maanaMwaka huu mtagombana na dunia nzima
Akili za kukata tamaa hizo, we kaa pembeni utuache sisi tusonge mbeleTanzania haiwezi kushindana na Kenya ikashinda.
Wakenya ni mabingwa wa figisu.... tayari Uganda & Rwanda washafanya yao kutokana na fitna za Kenya. EAC tumebakiwa na Burundi na South Sudan (ambayo nayo lazima tubusu kalio la Kenya ili tuweze kufanya nao biashara yoyote).
am not a proud Tanzanian at this moment kwa kweli!
Bomba lipi? Utakua hujielewi weweHii yote ni mikutano ya Lissu kutangazwa/kurushwa na television ya Kenya pamoja na bomba la mafuta kupitishwa huko
Hawa hapa wameanza kujipendekeza...sasa mjinga nani?
MY TAKE
Trick za kitoto sana...Our demands r pretty simple!
- No Air tanzania to Kenya's Nairobi, Mombasa, Eldoret and Kisumu no any airline from Kunyaland to be allowed to land in Tanzania!
- No free movement of tanzanians in Kunyaland no any airline from Kunyaland is to be allowed to land in Tanzania
nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican,Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
Mmmmh...hahaha...it is the other way round...Kenya kamwe haiwezi kuishinda TZ...Uganda kamwe haiwezi kutangaza uadui na TTanzania haiwezi kushindana na Kenya ikashinda.
Wakenya ni mabingwa wa figisu.... tayari Uganda & Rwanda washafanya yao kutokana na fitna za Kenya. EAC tumebakiwa na Burundi na South Sudan (ambayo nayo lazima tubusu kalio la Kenya ili tuweze kufanya nao biashara yoyote).
am not a proud Tanzanian at this moment kwa kweli!
Pengine anazungumzia bomba la chang'aa ...Bomba lipi?
Utakua hujielewi wewe
Mi napenda afungie KQ na hizo nyingine tatu kwa mwaka hivi!Kwenye utaratibu wa malori ndio walilikoroga
Walikubaliana vizuri A baada ya kikao kesho yake Waka introduce taratibu zao mpya walikozitoa wanakojua wao, kumbe JPM alikua anawavutia kasi tu, hahaha balaa kubwa wakaja kujichanganya kwenye hili la ndege hahaha JPM ndio anawarusha kichura mpaka sio poa 😅😅😅
Na ndio lengo lake hili tena usishangae akazipiga pini mpaka 2022,na saivi ni dhahiri huu mtiti sio wa kuongelewa na ngazi ya mawaziri tena huku uhuru akionekana wazi kabisa hana guts za kumuapproach Magu kwa sasaMi napenda afungie KQ na hizo nyingine tatu kwa mwaka hivi!
Wewe kwani una tofauti yeyote na akilj za Lisu?Tanzania haiwezi kushindana na Kenya ikashinda.
Wakenya ni mabingwa wa figisu.... tayari Uganda & Rwanda washafanya yao kutokana na fitna za Kenya. EAC tumebakiwa na Burundi na South Sudan (ambayo nayo lazima tubusu kalio la Kenya ili tuweze kufanya nao biashara yoyote).
am not a proud Tanzanian at this moment kwa kweli!
Those Tanzanians can find employment in other Banks if the need arises. I don't think the host country will lose. The share holders will be worried.And who will loose? How many Tanzanians are employed by these banks? Kweli ujinga ni mzigo.
Jamaa anacheka kile kicheko cha hatudanganyikiKwenye utaratibu wa malori ndio walilikoroga
Walikubaliana vizuri A baada ya kikao kesho yake Waka introduce taratibu zao mpya walikozitoa wanakojua wao, kumbe JPM alikua anawavutia kasi tu, hahaha balaa kubwa wakaja kujichanganya kwenye hili la ndege hahaha JPM ndio anawarusha kichura mpaka sio poa [emoji28][emoji28][emoji28]
Una pesa gani wewe?Ngoja niamishe pesa zng meko ni unpredictable kama 2020
Sio kujitambua mkuu, tumepata rais ambaye anajali maslahi ya Tanzania. Nyerere alifunga mpaka kwa miaka mingi tu hadi Sokoine alipoondoa hilo tatizo kwa ushawishi wake. Tumerudi kule kule, this time around lazima kilichomtoa kanga manyoya kionekane.Tanzania imeanza kujitambua sasa kuwa ni super power ya East Africa
Una pesa gani wewe?