SoC04 Tanzania yenye ajira ya kutosha inawezekana

SoC04 Tanzania yenye ajira ya kutosha inawezekana

Tanzania Tuitakayo competition threads

hauleibrahim

Senior Member
Joined
May 17, 2024
Posts
183
Reaction score
125
Tanzania inaweza kumaliza tatizo la ukosefu wa ajira Kwa asilimia mia Kwa wasomi mpka wasio wasomi.
Vitu vifuatavyo vinaweza badili Tanzania iwe ni soko la ajira milele.

Uvuvi.mikoa yote yenye bahari,maziwa Kwa wale vijana wanao penda uvuvi na wanao somea uvuvi wapewe elimu na vifaa vya kisasa wafanye uvivu wa kisasa huko huko makwao kwenye hizo fulsa za uvuvi.

Kilimo: serikali iwekeze upatikanaji wa pembejeo Kwa ubora vijijini hasa Kwa wakulima waliopo kule kulinda ukosefu wa ajira Kwa vijana vijijini mashamba yapo mengi ni kupatikana viwatilifu makini pamoja na elimu sahihi sekta ya kilimo itaajili vijana wengi wasomi na wasio wasomi mikoani bila kuja dar au mijini kuhangaikia ajira Kwa wasomi.

Ufugaji: serikali itoe elimu ya ufugaji wa kisasa vijijini hasa Kwa mikoa inayo fuga ng'ombe mbuzi nguruwe n.k elimu ya ufugaji wa kisasa ili tupate nyama nyingi ZeNye ubora wa kulika na kuuzika nje ya nchi

Pia serikali ijenge masoko ya hivyo vitu kila wilaya ili kupunguza wingi wa ajira kwenye eneo moja na kukosa riziki Kwa watu badala take kila kitu kiwe na soko lake humo humo vijijini

Vitu vingine vitakavyo maliza tatizo la ajira nchini ni hivi. Yawepo masoko kila wilaya masoko hayo yajitegeme mfano. Masoko ya nafaka yawe ya nafaka tu kusiwepo na muingiliano wa kila bidhaa soko mojo.

Ziwepo machinjio kila wilaya: sio lazima ziwe machinjio kubwa ila ndogo tu ZeNye miundombinu rafiki ya kuchakata nyama Kwa haraka na kutunza ngozi vizuri. Hii isasaidia wale vijana wasio penda kilimo uvuvi kupata ajira humo za kuchinja n.k machinjio hizi zisiwe na mlundikano wa kila aina ya wanyama wafugwao kuchinjwa mle ila kila eneo maalum litengwe Kwa machinjio ya wanyama husika Kwa hiyo mlaji atafuata nyama eneo husika Kwa anacho kihitaji hii itaongeza ajira na ushindani wa kuuzwa nyama Bora.

Yawepo masoko kila wilaya ila sio lazima yawe makubwa tunaweza Jenga masoko mfano wa lile la ilala na karume Kwa kila wilaya ili kuwapa fulsa vijana wanao tamani kufanya kazi humo na kujiajiri humo badala ya kutegemea vijana wa mikoani kukimbilia dar wakiamini ndiko kwenye soko na maisha mazuri.

Serikali iyafanye hayo Kwa weledi changamoto ya ajira Kwa miaka kumi mpka 20 itakuwa ni stori sio Tena la kugombana kama ilivyo Sasa hivi.

Lengo langu kugawanya masoko ya bidhaa kuto kuwa na bidhaa nyingi za aina moja ni kuhakikisha fulsa zinakuwa nyingi na kila mtu anapata mahali pa kuweza kutafuta kipato ila pia kugawanya ule mgawanyiko wa fedha bodaboda apate pesa dalaldala apate pesa Kwa vijana pia watakao kuwa wamejiajiri humo wapate

Masoko ya bidhaaa yakiwa mbali mbali ni fulsa hata Kwa vijana wabeba mizigo kila eneo kupata mkate wao bila kugombana gombana na wenzake sababu mle kazi hizo zitakuwa nyingi kila siku.

Tanzania bila ukosefu wa ajira inawezekana tukiamua Kwa pamoja na serikali kuwekeza nguvu katika haya mambo.
 
Upvote 1
What is true value of a product ? In this day and age huenda sio a better product inayouza bali better salespersons ndio wanauza....

Bila kufanya mfumo mzima sustainable haiwezekaniki system kuwa stable..., na sababu ya automation na nguvu kazi kutokuwa na maana kama zamani wahitaji wa ajira ni wengi hence ujira wanaopata / watakaopata ni mdogo

Ndio hao madalali ndio angalau wanafanya kijijini angalau bibi wenye gunia moja aweze kuuza sababu wanakusanya kila nyumba kidogo kidogo na kutafuta magari ya kupeleka mijini bila hivyo gunia za huyu bibi zingemuozea

Hio information ya nini kizalishwe na wapi na wakati gani inatoka wapi au ndio yale mwaka huu vitunguu vimelipa mwaka kesho kila mtu analima vitunguu hence watu kupata hasara na mwaka keshokutwa kuacha kulima...., Hili suala nilishaelezea hapa kwa mfumo wa riwaya ambapo nimeweka the only way theoretically ya kuhakikisha community inakuwa sustainable...
Bw Logikos, ninaona kama tunakubaliana kabisa lakini 'paradoxically' ni katika mtindo wa kubishana 🤯.

Nimeenda na kwenye link yako nimekuta mawazo (yapo mengi nimescanscan) hayahaya. Naomba niseme. Hivyo unavyosema ndivyo ilivyo.

Nikipata muda zaidi nitaisoma hadithi yako kikamilifu maana nayo ni a story of true change kabisa. I atakiwa kuiamkia na akili fresh
 
Tanzania tuitakayo inawezekana hivyo tunahitaji maamuzi ya dhati, haraka maana tumechelewa sana, na utashi wa watanzania wenyewe kwamba tumechoka umasikini.
 
Swadkta kuchelewa n kweli tumechelewa ila itakuwa vizuri kama tumechelewa ila tuna maarifa ya kufika kule tunako kuhitaji
 
Bw Logikos, ninaona kama tunakubaliana kabisa lakini 'paradoxically' ni katika mtindo wa kubishana 🤯.

Nimeenda na kwenye link yako nimekuta mawazo (yapo mengi nimescanscan) hayahaya. Naomba niseme. Hivyo unavyosema ndivyo ilivyo.

Nikipata muda zaidi nitaisoma hadithi yako kikamilifu maana nayo ni a story of true change kabisa. I atakiwa kuiamkia na akili fresh
Naam mawazo ni hayo ila nachomaanisha mimi implementation yake inabidi ifanyike kwa system nzima sababu inategemeana ukifanya nunu nusu haiwezi ku balance inahitaji kuwa na miundombinu sahihi unahitahi kuzalisha kulingana na mahitaji, unahitaji kuondoa wastage unahitaji kuwa na community ambayo ni sustainable, unahitaji kufanya kila hitaji kama linaweza kufanyika lifanyike na wanaofanya wapate ujira..... In short unahitaji kuwa na kitu sustainable (uzalishaji uendane na mahitaji na wafanyaji wapate ujira..., hatufanyi kazi ili mradi tufanye kazi tunafanya kazi kukidhi mahitaji hivyo ni kuhakikisha kila mtu anapata opportunity ya kufanya hayo mahitaji ili apate ujira wa kuweza ku sustain maisha yake katika a given community)
 
Nakubaliana na wew mkuu ila lazima tukubaliane kitu au nikuulize unaamini katika mabadiliko kufanyiaka ndani ya siku moja au ww una amini katika mchakato kama ujenzi wa Roma ?

Jibu lako litanipa nn unataka na je tuendelee kuongea Kwa hoja ama niache.

Mawazo yako ni mazuri ila mm naona Kwa afrika na hasa tz ni mlolongo ona mwenyewe mkongo wa simu tu ulivyo tutesa na tuko nao miaka na miaka vp tungesubiria wkati huo wnataka kuweka kuboresha vitu muhimu vyote unazani ungekuwepo baharini hata uwo mkongo wa simu.kwa nchi yetu vitu vingi hufanyika taratibu mfano ujenzi wa treni ya mwendo Kasi ona ujenzi wake.
Sina maana utakavyo ww haifai ila Kwa nchi yetu ubabaishaji ni mwingi unaweza kutaka kila jambo litimie matokeo yake project yenyewe ikafa kabla ya kuanza kwake ndo mana mm nasema tuanze alfu hayo usemayo wew yaje kufanyika taratibu sio vibaya kuliko tujilazimishe kuanza tukiwa complete wkati uwezo wetu ni mdogo sana.

Naam mawazo ni hayo ila nachomaanisha mimi implementation yake inabidi ifanyike kwa system nzima sababu inategemeana ukifanya nunu nusu haiwezi ku balance inahitaji kuwa na miundombinu sahihi unahitahi kuzalisha kulingana na mahitaji, unahitaji kuondoa wastage unahitaji kuwa na community ambayo ni sustainable, unahitaji kufanya kila hitaji kama linaweza kufanyika lifanyike na wanaofanya wapate ujira..... In short unahitaji kuwa na kitu sustainable (uzalishaji uendane na mahitaji na wafanyaji wapate ujira..., hatufanyi kazi ili mradi tufanye kazi tunafanya kazi kukidhi mahitaji hivyo ni kuhakikisha kila mtu anapata opportunity ya kufanya hayo mahitaji ili apate ujira wa kuweza ku sustain maisha yake katika a given community)
 
Kufuga tumeshindwa ndio jibu sahihi na pia ufugaji hata wa kawaida n ufugaji usioweza kumpeleka mtoto st agrey high school Kuna wakati bei zikiwa juu jibu ni kwamba uzalishaji wa hiko kitu uko chini so uhitajiki wake na bei sokoni lazima iwe juu huu ndo muda mzalishaji kidogo huneemeka rejea ishu ya mahindi rejea ishu ya mchele rejea ishu ya mafuta. Sokoni mahitaji yakiwa machache au shambani vitokako sokoni bei huoanda na vikiwa vingi bei hushuka na ikishuka n hasara Kwa mzalishaji shambani pia.hilo ni somo watu wa uchumi wanasomea Kwa mm nilisoma juu juu form3 inflation na deflation kufumuka Kwa bei na kushuka Kwa bei Kuna faida na hasara zake.pia hata helaa utumiazo zikiwa nyingi mitaani thamani yake inashuka ila zikiwa zinapatikana Kwa uchache thamani yake ni kubwa na itanunua vitu vingi so fuatilia sana wataalam wa uchumi wakiwa wnaelezea mambo hayo

Kufuga tumeshindwa ndio jibu sahihi na pia ufugaji hata wa kawaida n ufugaji usioweza kumpeleka mtoto st agrey high school
 
Back
Top Bottom