Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
CCM hawawezi kukuelewa, watakwambia kila mtu atakufa pia tamthilia zina umahiri wake, (drama)Amani inaanzia moyoni.
Tukiwa na amani moyoni basi hata nje kutakua na amani.
Ni jinsi gani watu wanaweza kumpenda Yesu Kristo.
Njia pekee ni kwa kuhubiri habari za Yesu Kristo tu huko makanisani bila kubembeleza watumishi.
Watumishi waambiwe ukweli ya kwamba ni Yesu Kristo pekee awezaye kukutengeneza usiwe na vurugu na kuacha dhambi.
Waelezwe ukweli ya kwamba hukumu yako inaanza baada ya wewe Kuaga dunia.
Na baada ya kuaga dunia hakuna maombezi ya kukuombea msamaha.
Watu waelezwe ukweli ya kwamba ukidondoka leo muda huo huo roho yako inakwenda peponi au kuzimu. Mtenda maovu kuzimu mtenda mema peponi.
Nani kwakuambia Yesu kaleta Amani duniani. Yeye kaleta upendo wa ufalme wa Mungu unadhani wakati dunia ni ufalme wa shetani sasa huoni hapo ameleta vita juu ya tawala mbili za kifalme.Amani inaanzia moyoni.
Tukiwa na amani moyoni basi hata nje kutakua na amani.
Ni jinsi gani watu wanaweza kumpenda Yesu Kristo.
Njia pekee ni kwa kuhubiri habari za Yesu Kristo tu huko makanisani bila kubembeleza watumishi.
Watumishi waambiwe ukweli ya kwamba ni Yesu Kristo pekee awezaye kukutengeneza ili uwe na amani.
Pambana msomi, utapata tu ajira...Amani inaanzia moyoni.
Tukiwa na amani moyoni basi hata nje kutakua na amani.
Ni jinsi gani watu wanaweza kumpenda Yesu Kristo.
Njia pekee ni kwa kuhubiri habari za Yesu Kristo tu huko makanisani bila kubembeleza watumishi.
Watumishi waambiwe ukweli ya kwamba ni Yesu Kristo pekee awezaye kukutengeneza ili uwe na amani.
Amen Amen AmenAmani inaanzia moyoni.
Tukiwa na amani moyoni basi hata nje kutakua na amani.
Ni jinsi gani watu wanaweza kumpenda Yesu Kristo.
Njia pekee ni kwa kuhubiri habari za Yesu Kristo tu huko makanisani bila kubembeleza watumishi.
Watumishi waambiwe ukweli ya kwamba ni Yesu Kristo pekee awezaye kukutengeneza ili uwe na amani.
Shalom 🙏 🙏Amani inaanzia moyoni.
Tukiwa na amani moyoni basi hata nje kutakua na amani.
Ni jinsi gani watu wanaweza kumpenda Yesu Kristo.
Njia pekee ni kwa kuhubiri habari za Yesu Kristo tu huko makanisani bila kubembeleza watumishi.
Watumishi waambiwe ukweli ya kwamba ni Yesu Kristo pekee awezaye kukutengeneza ili uwe na amani.
Wewe ni mpinga Kristo. Majibu yake utayapata kwa kiwango usichodhani!Pambana msomi, utapata tu ajira...
Ukianza mambo ya yesu ukiwa bado kijana hivi, tutaanza kukuita tapeli......
Huyo kristo alikuwa mweusi kama wewe ?Wewe ni mpinga Kristo. Majibu yake utayapata kwa kiwango usichodhani!
Ndio hapo sasa walio gizani wakiingizwa katika ufalme wa Mungu aliye hai watakua na upendo kwa watu wote tutaishi kwa amani.Nani kwakuambia Yesu kaleta Amani duniani. Yeye kaleta upendo wa ufalme wa Mungu unadhani wakati dunia ni ufalme wa shetani sasa huoni hapo ameleta vita juu ya tawala mbili za kifalme.
Boss tunazungumzia habari za watu kumpenda Yesu Kristo ili wawe na amani moyoni sio ajira. Ajira zipo tu tutaziacha ila amani ya Mungu itadumu milele na milele. Tunawataka wachungaji wahubiri habari za Yesu Kristo aliye hai.Pambana msomi, utapata tu ajira...
Ukianza mambo ya yesu ukiwa bado kijana hivi, tutaanza kukuita tapeli......
Tatizo ni kwamba huyo shetani hajafa na hao wanao jifanya kwamba wanaupendo wa Yesu ni mbwa mwitu wamevaa ngozi ya kondoo. Wewe angalia viongozi wote wa Makanisa au ma mufti hakuna hata mmoja anayetaka kumuachia mwenziye madaraka kwa sababu wengi wao wapo pale si kuwapeleka watu mbinguni ila kusimamia maslai yao. Yesu alituambia yeye ndiye mchungaji mwema na akaeleza na sifa za mchungaji mwema lakini alisemaje kwa hao wengine. Ni wezi na wany,ang'anyi.Ndio hapo sasa walio gizani wakiingizwa katika ufalme wa Mungu aliye hai watakua na upendo kwa watu wote tutaishi kwa amani.
Usisikilize maneno bali angalia matendo.Tatizo ni kwamba huyo shetani hajafa na hao wanao jifanya kwamba wanaupendo wa Yesu ni mbwa mwitu wamevaa ngozi ya kondoo. Wewe angalia viongozi wote wa Makanisa au ma mufti hakuna hata mmoja anayetaka kumuachia mwenziye madaraka kwa sababu wengi wao wapo pale si kuwapeleka watu mbinguni ila kusimamia maslai yao. Yesu alituambia yeye ndiye mchungaji mwema na akaeleza na sifa za mchungaji mwema lakini alisemaje kwa hao wengine. Ni wezi na wany,ang'anyi.
Wapendwa wenyewe wanaodai wanampenda yesu wanapondana. Msabato anamponda mkatoliki. Mgwajima anamponda kuani n.k. sasa hiyo amani itatoka wapi.Amani inaanzia moyoni.
Tukiwa na amani moyoni basi hata nje kutakua na amani.
Ni jinsi gani watu wanaweza kumpenda Yesu Kristo.
Njia pekee ni kwa kuhubiri habari za Yesu Kristo tu huko makanisani bila kubembeleza watumishi.
Watumishi waambiwe ukweli ya kwamba ni Yesu Kristo pekee awezaye kukutengeneza ili uwe na amani.
Soma andiko zima, andiko lilikua linazungumzia mambo ya kodi.Ya Kaisari Mwachie Kaisari,,,Na Ya Mungu Mpe Mungu.
Wanaopondana hawana Yesu Kristo. Endelea kuwambia wasipondane badala yake wampende Yesu Kristo pekee watapendana tu.Wapendwa wenyewe wanaodai wanampenda yesu wanapondana. Msabato anamponda mkatoliki. Mgwajima anamponda kuani n.k. sasa hiyo amani itatoka wapi.
Kila mmoja anaona mwenzake anakosea katika kufuata maandiko hivyo kupondana kutaendelea.Wanaopondana hawana Yesu Kristo. Endelea kuwambia wasipondane badala yake wampende Yesu Kristo pekee watapendana tu.