Tanzania yote tukimpenda Yesu Kristo tutakua na amani ya moyoni ambayo huleta amani ya nje (utulivu yaani bila ghasia)

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Amani inaanzia moyoni.
Tukiwa na amani moyoni basi hata nje kutakua na amani.

Ni jinsi gani watu wanaweza kumpenda Yesu Kristo.

Njia pekee ni kwa kuhubiri habari za Yesu Kristo tu huko makanisani bila kubembeleza watumishi.

Watumishi waambiwe ukweli ya kwamba ni Yesu Kristo pekee awezaye kukutengeneza ili uwe na amani.
 
Watumishi waambiwe ukweli ya kwamba ni Yesu Kristo pekee awezaye kukutengeneza usiwe na vurugu na kuacha dhambi.

Waelezwe ukweli ya kwamba hukumu yako inaanza baada ya wewe Kuaga dunia.

Na baada ya kuaga dunia hakuna maombezi ya kukuombea msamaha.

Watu waelezwe ukweli ya kwamba ukidondoka leo muda huo huo roho yako inakwenda peponi au kuzimu. Mtenda maovu kuzimu mtenda mema peponi.
CCM hawawezi kukuelewa, watakwambia kila mtu atakufa pia tamthilia zina umahiri wake, (drama)
 
Hata Yesu alifanya harakati - maisha yake ya Duniani hayakuwa rahisi.
Kuna muda alishitakiwa kwa kosa kwamba anazurura na watu mitaani hawalipi kodi. Iweje sisi tunaotekwa!!
 
Amani inaanzia moyoni.
Tukiwa na amani moyoni basi hata nje kutakua na amani.

Ni jinsi gani watu wanaweza kumpenda Yesu Kristo.

Njia pekee ni kwa kuhubiri habari za Yesu Kristo tu huko makanisani bila kubembeleza watumishi.

Watumishi waambiwe ukweli ya kwamba ni Yesu Kristo pekee awezaye kukutengeneza ili uwe na amani.
Nani kwakuambia Yesu kaleta Amani duniani. Yeye kaleta upendo wa ufalme wa Mungu unadhani wakati dunia ni ufalme wa shetani sasa huoni hapo ameleta vita juu ya tawala mbili za kifalme.
 
Pambana msomi, utapata tu ajira...
Ukianza mambo ya yesu ukiwa bado kijana hivi, tutaanza kukuita tapeli......
 
Amen Amen Amen
 
Shalom 🙏 🙏

MUNGU ni mwema WAKATI wote Wakati WOTE Mungu ni mwema

😍😍
 
Nani kwakuambia Yesu kaleta Amani duniani. Yeye kaleta upendo wa ufalme wa Mungu unadhani wakati dunia ni ufalme wa shetani sasa huoni hapo ameleta vita juu ya tawala mbili za kifalme.
Ndio hapo sasa walio gizani wakiingizwa katika ufalme wa Mungu aliye hai watakua na upendo kwa watu wote tutaishi kwa amani.
 
Pambana msomi, utapata tu ajira...
Ukianza mambo ya yesu ukiwa bado kijana hivi, tutaanza kukuita tapeli......
Boss tunazungumzia habari za watu kumpenda Yesu Kristo ili wawe na amani moyoni sio ajira. Ajira zipo tu tutaziacha ila amani ya Mungu itadumu milele na milele. Tunawataka wachungaji wahubiri habari za Yesu Kristo aliye hai.
 
Ndio hapo sasa walio gizani wakiingizwa katika ufalme wa Mungu aliye hai watakua na upendo kwa watu wote tutaishi kwa amani.
Tatizo ni kwamba huyo shetani hajafa na hao wanao jifanya kwamba wanaupendo wa Yesu ni mbwa mwitu wamevaa ngozi ya kondoo. Wewe angalia viongozi wote wa Makanisa au ma mufti hakuna hata mmoja anayetaka kumuachia mwenziye madaraka kwa sababu wengi wao wapo pale si kuwapeleka watu mbinguni ila kusimamia maslai yao. Yesu alituambia yeye ndiye mchungaji mwema na akaeleza na sifa za mchungaji mwema lakini alisemaje kwa hao wengine. Ni wezi na wany,ang'anyi.
 
Usisikilize maneno bali angalia matendo.
 
Amani inaanzia moyoni.
Tukiwa na amani moyoni basi hata nje kutakua na amani.

Ni jinsi gani watu wanaweza kumpenda Yesu Kristo.

Njia pekee ni kwa kuhubiri habari za Yesu Kristo tu huko makanisani bila kubembeleza watumishi.

Watumishi waambiwe ukweli ya kwamba ni Yesu Kristo pekee awezaye kukutengeneza ili uwe na amani.
Wapendwa wenyewe wanaodai wanampenda yesu wanapondana. Msabato anamponda mkatoliki. Mgwajima anamponda kuani n.k. sasa hiyo amani itatoka wapi.
 
Wanaopondana hawana Yesu Kristo. Endelea kuwambia wasipondane badala yake wampende Yesu Kristo pekee watapendana tu.
 
Kila mmoja anaona mwenzake anakosea katika kufuata maandiko hivyo kupondana kutaendelea.
Hata kwa wenzetu. Huwa wanapatana wakiwa na common enemy, ila wakibaki wao kama wao nao wana makundi wananza pingana.
 
Back
Top Bottom