Unaposema haijavamiwa sikuelewi!
Angalia wahubifi feki walivyo wengi siku hizi(mfano, Kiboko wa wachawi) na asilimia kubwa wanaojiita manabii na mitume ni. Matapeli.
Kusoma na kuelewa inatedemea pia na kiwango cha elimu.
Bahati mbaya elimu ya wafuasi wengi iko chini....hali .hiyo haistahili kuwa fimbo ya kuwachapa kwa kuwatapeli kidogo walicho naco..
Kumbuka Yesu Kristo alilisha watu 500 wenye njaa, ila siku hizi hao matapeli wamepindua na kufanya watu hao wenye njaa wanamlisha mtu mmoja aliyeshiba.