Tanzania: Zigo la madeni ni balaa

Tanzania: Zigo la madeni ni balaa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hivi ndivyo vyombo vya habari vilivyoripoti , hatujui kama huko ndio kuupiga mwingi au la !

Screenshot_2024-02-05-23-36-33-1.png
 
Hapo tegemea ni tozo juu kwa kwenda mbele
Ni hivi walishalinzisha na dude la mrusi na ukraine na wameanza, tegemea maumivu, na wala sio BOT wala bajeti ya bunge
Hayo ni maambukizi ya mifumo ya pesa kidunia, (Inflation Index)
Tunaoishi nao , tumeshayajua haya, sio tu Tanzania peke yake
Huu mfumuko wa bei umeshapangwa na wakulungwa wa uchumi wa dunia, wala usitetereke ukaona ni "njamamfu" yaani (conspiracy).
Kwa dunia ya tatu, ni kufuata maelekezo tu
Huku tunajiuliza? mbona Scotland ina mafuta na gesi lakini bei zinapanda kutokana na bei mafuta na gesi ya Mrusi?
Na mafuta na gesi yakipanda, tegemea hata bando linapanda, hata kama halihusiani na mfumo wa (Inflation Index)
Na bei hazitashuka tena kwa viwango vya zamani kamwe, ni utashushiwa mia(100) halafu wataongeza mia tano(500), tena baadae halafu utaushushiwa mia mbili(200) tena wataongeza mia 800, yaani gari limeshawaka
Hapo sasa tafuta x kwenye hii calculus, na bando na school fee zipo humuhumo kwenye x
1707172182103.png
 
Anayo lakini mimi naifananisha na ile ya yule mdudu anayesukuma zigo la mavi mida wote asijue anaelekea wzpi!!
Anayo lakini mimi naifananisha na ile ya yule mdudu anayesukuma zigo la mavi mida wote asijue anaelekea wzpi!!
Unajua hata Nyerere alivyokuwa anadai Uhuru wa Tanganyika wako Mamluki walimuona yule mzee ni fala
 
Kuna kanuni au principles of economics ambazo Tanzania haziguswi pamoja na kuwa na waziri wa fedha anayehisiwa alisoma uchumi.
1. A country can not become richer by taxing it's people (nchi haiwezi kutajirika kwa Kodi za ndani)

2. A country can not become richer by borrowing. ( Nchi haiwezi kutajirika kwa kukopa)
Mwigulu anafanya kinyume kabisa na hizi kanuni.
 
Hivi ndivyo vyombo vya habari vilivyoripoti , hatujui kama huko ndio kuupiga mwingi au la !

View attachment 2895458
Serikali ulipe,iache kuwaonesha wakandarasi wa ndani.

Mwisho Serikali ibadili modelity ya project financing maana hii ya traditional inachelewesha kazi na Kuzalisha Madeni na hasara.

Wa issue bond ya miundombinu ya miaka 10,15 au zaidi Ili kupata pesa za kulipa wakandarasi na miradi ifanyike in time harafu Madeni hayo yatakuwa y aliowa mdogo mdogo Kwa banks nk
 
Back
Top Bottom