Tanzania: Zigo la madeni ni balaa

Tanzania: Zigo la madeni ni balaa

Hakuna Nchi isiyokuwa na Madeni hapa Duniani so hakuna jipya.

Kilio Changu Serikali iharakishe new financing modelity ya miradi via infrastructure bond,wanaumiza wakandarasi wa ndani.
Zile bara bara za kujengwa Kwa kiwango cha lami kms 2035 vipi?

Huyu bibi ni hasara ya Karne brother!!
 
Hivi ndivyo vyombo vya habari vilivyoripoti , hatujui kama huko ndio kuupiga mwingi au la !

View attachment 2895458
Lisiwastue tu,wachukue hatua,kuiwajibisha serikali, na mamlaka hayo wanayo kwa kutumia Katiba.Tatizo ni kwamba wamefumbwa midomo na hongo in terms of emolments wanazopewa na serikali.

Tulishasema kwamba nchi yetu ina utajiri wa kutupa, wala hakuna haja ya kukopa,lakini watawala wameziba masikio,huku wakishirikiana na mabeberu kuifukarisha nchi.Vizazi vyao vinamegewa sehemu ya mikopo,huku sehemu nyingine ikirudi kwa waliotoa mikopo hiyo,na sisi wengine tukipiga miyayu vizazi vyetu vikiishia majalalani vikikusanya chupa za plastiki kama vichaa.Rasilimali nazo hivyo hivyo.R.I.P Comrades John Joseph Pombe Magufuli and Thadei Ole Mushi.
 
Taifa la vilaza,Trump alikuwa Sawa kusema nchi za Africa na baadhi ya nchi za Asia ni Sawa na sehemu ya haja kubwa.
JamiiForums1555724604.jpg
JamiiForums683259417.jpg
 
Hapo tegemea ni tozo juu kwa kwenda mbele
Ni hivi walishalinzisha na dude la mrusi na ukraine na wameanza, tegemea maumivu, na wala sio BOT wala bajeti ya bunge
Hayo ni maambukizi ya mifumo ya pesa kidunia, (Inflation Index)
Tunaoishi nao , tumeshayajua haya, sio tu Tanzania peke yake
Huu mfumuko wa bei umeshapangwa na wakulungwa wa uchumi wa dunia, wala usitetereke ukaona ni "njamamfu" yaani (conspiracy).
Kwa dunia ya tatu, ni kufuata maelekezo tu
Huku tunajiuliza? mbona Scotland ina mafuta na gesi lakini bei zinapanda kutokana na bei mafuta na gesi ya Mrusi?
Na mafuta na gesi yakipanda, tegemea hata bando linapanda, hata kama halihusiani na mfumo wa (Inflation Index)
Na bei hazitashuka tena kwa viwango vya zamani kamwe, ni utashushiwa mia(100) halafu wataongeza mia tano(500), tena baadae halafu utaushushiwa mia mbili(200) tena wataongeza mia 800, yaani gari limeshawaka
Hapo sasa tafuta x kwenye hii calculus, na bando na school fee zipo humuhumo kwenye x
View attachment 2895476
Watu wa hesabu wanajua sisi tunafikiria sawa na wao
 
Hakuna Nchi isiyokuwa na Madeni hapa Duniani so hakuna jipya.

Kilio Changu Serikali iharakishe new financing modelity ya miradi via infrastructure bond,wanaumiza wakandarasi wa ndani.

Hizi fedha wanamlipa nani kama sie wakandarasi tunadai mwaka sasa.
 
Taifa la vilaza,Trump alikuwa Sawa kusema nchi za Africa na baadhi ya nchi za Asia ni Sawa na sehemu ya haja kubwa.View attachment 2895617View attachment 2895620
Picha yako haikukamilika; ungeweka ya Kikwete na kibaba kutoisa safari za nje, na ya Magufuli kuwa sis ni dona kauntri pamoja na ya mama kuwa nimeandika barua kutuma mawaziri wa fedha wa Muungano na wa Zanziba kwendea kuomba misaada na mikopo.
 
Hapo tegemea ni tozo juu kwa kwenda mbele
Ni hivi walishalinzisha na dude la mrusi na ukraine na wameanza, tegemea maumivu, na wala sio BOT wala bajeti ya bunge
Hayo ni maambukizi ya mifumo ya pesa kidunia, (Inflation Index)
Tunaoishi nao , tumeshayajua haya, sio tu Tanzania peke yake
Huu mfumuko wa bei umeshapangwa na wakulungwa wa uchumi wa dunia, wala usitetereke ukaona ni "njamamfu" yaani (conspiracy).
Kwa dunia ya tatu, ni kufuata maelekezo tu
Huku tunajiuliza? mbona Scotland ina mafuta na gesi lakini bei zinapanda kutokana na bei mafuta na gesi ya Mrusi?
Na mafuta na gesi yakipanda, tegemea hata bando linapanda, hata kama halihusiani na mfumo wa (Inflation Index)
Na bei hazitashuka tena kwa viwango vya zamani kamwe, ni utashushiwa mia(100) halafu wataongeza mia tano(500), tena baadae halafu utaushushiwa mia mbili(200) tena wataongeza mia 800, yaani gari limeshawaka
Hapo sasa tafuta x kwenye hii calculus, na bando na school fee zipo humuhumo kwenye x
View attachment 2895476

Sasa Kwa hayo unayosema I think serikali ingepunguza gharama Sana ya uendeshaji na mambo yake mengine kiujumla

Ila ukiwa na serikali ambayo matumizi yake na warsha vikao na makongamano na safari za nje kila siku lazima maumivu yawe makali
 
Back
Top Bottom