Hapo tegemea ni tozo juu kwa kwenda mbele
Ni hivi walishalinzisha na dude la mrusi na ukraine na wameanza, tegemea maumivu, na wala sio BOT wala bajeti ya bunge
Hayo ni maambukizi ya mifumo ya pesa kidunia, (Inflation Index)
Tunaoishi nao , tumeshayajua haya, sio tu Tanzania peke yake
Huu mfumuko wa bei umeshapangwa na wakulungwa wa uchumi wa dunia, wala usitetereke ukaona ni "njamamfu" yaani (conspiracy).
Kwa dunia ya tatu, ni kufuata maelekezo tu
Huku tunajiuliza? mbona Scotland ina mafuta na gesi lakini bei zinapanda kutokana na bei mafuta na gesi ya Mrusi?
Na mafuta na gesi yakipanda, tegemea hata bando linapanda, hata kama halihusiani na mfumo wa (Inflation Index)
Na bei hazitashuka tena kwa viwango vya zamani kamwe, ni utashushiwa mia(100) halafu wataongeza mia tano(500), tena baadae halafu utaushushiwa mia mbili(200) tena wataongeza mia 800, yaani gari limeshawaka
Hapo sasa tafuta x kwenye hii calculus, na bando na school fee zipo humuhumo kwenye x
View attachment 2895476