Tanzania: Zigo la madeni ni balaa

Umesema kweli mkuu, hii mikopo ya nchi za mabeberu na makampuni yao ni sawasawa na kuwekewa nira kama wale maksai wanaolima kwa jembe la kukokota.

Yaani hawa wananchi wa hizi nchi za ulimwengu wa tatu watabaki kutumikishwa maisha yao yote, serikali zao zinahimizwa zibane matumizi (austerity measures) na kuwakamua wananchi tozo ili beberu alipwe madeni yake ambayo hayataisha hadi mwisho wa dunia.

Hapo hapo nchi hizi zimejaa ufisadi wa kutisha kiasi kwamba wananchi wanatumikishwa na mabeberu pamoja na magenge ya wizi na ufisadi kwenye hizo nchi.​
 
Nchi itapigwa mnada
Mkuu jamaa hawa wana nia mbaya sana.Nadhani mwishoni watadai tuwape mikoa ya Arusha,Manyara na Shinyanga yenye rasilimali nyingi.Ukweli ni kwamba deni letu sasa ni unsustainable,kama lilivyo la Marekani,kilichobaki Sasa ni wao kuchukua sehemu ya nchi na nina hakika that is in their cards.
 
Kwa nini wanastuka?
Choice Variable nimekufuatilia sana comments zako,inawezekana upo kwenye CIA payroll.Yaani na ukilaza wote huu wa watawala bado una positive comments juu yao.No,wewe I believe ni part of our problems na you could be part of the "state capture mechanism".Ila mfike mahali muionee huruma nchi yenu,ndugu zako wote wamo humu,msijifikirie ninyi wenyewe tu,fikirieni na ndugu zenu pia.
 
Wewe unamshangaa huyo,je umesha mshanga Lucas Mwashambwa😁
 
Sasa wachague nini?
Swali la kizushi sana hili.Yaani unataka kuniambia kwamba in 60 plus million Tanzanians walioko nje ya CCM hakuna anayefaa kuwa Rais!!!!There are so many.That is psychological manipulation of Tanzanians by CCM so that they can believe that CCM is the only party capable of leading Tanzania and providing a President.Narudia si kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…