Tanzanialeaks apuuzwe, Hazina haijafilisika

Kwanini ujamsimia mama yetu samia umelewa madaraka teyari..
 
Atafutwe, akane mbele ya jamii, huo uongo!
 
Wiki ya pili ya Mwaka wa fedha inafanya yote ya nyuma yayeyuke?
 
Hivi Kwa hiyo misafara ya huyo Rais, ya magari zaidi ya 150 Kwenye msafara mmoja.........

Hivi hamuoni kuwa hayo ni matumizi mabaya mno ya Kodi zetu??
 
Asante sana kwa ufafanuzi Mheshimiwa Waziri. Watu wanatapatapa na kuhangaika baada ya kuona nchi inapaa kimaendeleo na kufanya vizuri kiuchumi.ndio maana wanajaribu kuokoteza vihoja vya uongo na uzushi.
Na wewe poti kila jambo la CCM ni kuunga mkono hoja tuu!Asingepotoshs umma ungejuaje?Itakuwa hata BAO la Nape unaunga mkono.
 
Ujenzi wa SGR kule Mwanza umesimama kwa sababu gani kama kila kitu kiko sawa huko hazina?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…