trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 744
Nashukuru kwa mawazo hafifu, hivi watu wangapi wanawaponda wazazi wao na hawafi?...hebu acha hizo...
dah! Waswahili taabu kweli. Ray asingekuwa karibu ingekuwa nongwa vilevile.Ni kweli mkuu.Hata maiti ilivyokuwa inashushwa pale Muhimbili Ray alikuwa busy kweli kuipiga picha maiti
sure kaka ckuhizi ni kiwanda cha kuuza sura, kisha wanasahau kuwa Kuna Mungu bahati mbaya wote tutakufa na Mungu ategemei wanadamu wanasema nani awekwe wapi bali anahukumu kwa haki so fanya mema Mungu atakutunuku siwezi kumbwelambewela mwisho utegemee watu waseme RIP coz God haangalii wangapi wanasema like . Najua hatupendi kuelezwa ukweli but huo ndio ukwelikweli,c u0ngo tasnia ya Filamu bhana imekumbwa na mashetan,tazama wanavouza nyuch zao
kama ni Lulu,kama ni Lulu,kama ni Lulu.
Heeee,cjui itakuaje?
Kuna majitu yanakera kweli humu, yani halitofautishi msiba na v2 vingine. Jyinga kabisa! R.I.P BROTHER KANUMBA.
mkuu! Hakuna kuomba hapa, kifo chake kama inasemekana, 7bu ni mapenzi, while huyu lulu c mke wake. Mungu wa kweli hana muda wakusikiliza kelele. Infact, tasnia ya filamu ni 1 ya kitengo cha shetani.! Sorry huo ndo ukweli
kanumba ndo nani?