Kumbe Lulu ni Mmachame?
Nazidi kuwachukia dada zangu wa kimachame..
.........Inasemekana ni Lulu huyo huyo mnaomuita mtoto, ila mtu mzima huyo anachukua vitu size kubwaaa!!
Pole Wema kwa kufiwa na Ex wako.
hata wewe ni great kwako...ndio maana unauza nyago kwenye thread yake....kudadadekiAlikuwa great kwa wapenda maigizo na mashost wote. Nasikia party zote zimecanceliwa, kisa mashost wote wameenda sinza kwenye msiba.
RIP the Great!
Sasa mkuu vile vilikuwa vita,na Mungu alikuwa upande wa Israel... So kumstrengthen Daudi ni kufanikisha ushindi..
Baada ya kukufundisha hili,sasa relate na Lulu na Kanumba..
Kuna mochwari za ma VIP mkuu...moja ipo mikocheni.uzuri wa Tanzania bwana..hakuna mochwari za masuperstar, wala viongozi, wala matajiri..wote mochwari yetu ni ile ile..
tutadharauliana sana huku kitaa ila kule tunakutana na hakuna dharau!
REST IN PEACE KANUMBA..WE ARE COMING!!!
Kumbe Lulu ni Mmachame?
Nazidi kuwachukia dada zangu wa kimachame..
Kwa habari ambazo kiukweli sina uhakika nazo sana eti Bongo Movie Super Star Steven Kanumba amefariki Dunia usiku wa Ijumaa kuamkia J'mosi. Na mwili wake unapelekwa Muhimbili kuhifadhiwa.
More updates to follow...
- JF has confirmed his death
- Source of his death unconfirmed
- Taarifa ambazo hazijathibitishwa ni kwamba Kanumba alianguka na kuumia kichwani baada ya mpenzi wake ambae anatajwa kuwa ni mwigizaji LULU kumsukuma na kuanguka wakati wanagombana.
Inasemekana Kanumba wakati akijiandaa kutoka saa sita usiku aliingia bafuni kuoga, alipotoka alimkuta Lulu akiongea na mwanaume mwingine kwenye simu ndipo alipokasirika na ugomvi kuanza.- Lulu ameshikiliwa Polisi Oysterbay, inadaiwa ana majeraha pia.
- Mwili wa marehemu uko katika chumba cha kuhifadhia maiti hospitali ya Muhimbili.
Huyu ndiye LULU the Suspect!!