Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Msiba ni sinza vatican. Michango yenu inahitajika sana.
Freeman Mbowe, Rais na Waziri mkuu wote wametuma salam za pole
Bila kumtaja Mbowe kwa siku huwa unawashwa? ni nani aliyekuuliza watu waliotuma salamu za pole? do you think mnaweka kuondowa attention za watu kwa dhuluma zenu kwa kuudandia msiba huu?
 
R.I.P Kanumba umependwa zaid na Muumba. Amefariki akiwa na umri gani? Ameacha familia ?
 
ni kweli mkuu.hata maiti ilivyokuwa inashushwa pale muhimbili ray alikuwa busy kweli kuipiga picha maiti

jamani kifo si kitu cha kufanyia mzaha!hata kama hujaguswa,kumbuka kuna mamia ya watu ambao wako kwenye majonzi!si busara hata kidogo kuleta mzaha kwenye jambo kama hili!kama kuna asiyeguswa ni bora akakaa kimya kuliko kutoa kauli za kumzalilisha marehemu au rafiki zake,tukumbuke hatunae tena na ni bora tukamuacha akapumzika kwa amani, maana kama ni uzushi lawama na vinginevyo alifanyiwa vya kutosha alipokuwa hai!hivi mtu anawezaje kusema mrhm alipata utajiri kwa uchawi na mengineyo!!??
Sote ni mashaidi kuwa jamaa alikuwa ni mchapa kazi na alikuwa anajua anachokifanya!rip kanumba
 
R.I.P ndugu Kanumba the Great, tutakukumbuka daima.
 
This world is no our hom alisema Jim Reevs na hakuwa anatania. RIP Kanumba
 

Mpenda tiGO.mlaze mahali pema peponi!
 
Bila kumtaja Mbowe kwa siku huwa unawashwa? ni nani aliyekuuliza watu waliotuma salamu za pole? do you think mnaweka kuondowa attention za watu kwa dhuluma zenu kwa kuudandia msiba huu?
Kwa sasa siyo wakati muafaka wa kulumbana, cha muhimu kama msiba haujakugusa unaweza kujikalia tu kimya.
 
Lulu uliambiwa mwanangu, asiyefunzwa na ***** hufunzwa na ulimwengu. Sasa ona utaishia jela kwa kuua bila kukusudia. Umejiharibia maisha yako maana mzimu wa Kanumba hautakuacha kamwe. Haya we!!! Uliyotaka umeyapata!!!!
 
Bila kumtaja Mbowe kwa siku huwa unawashwa? ni nani aliyekuuliza watu waliotuma salamu za pole? do you think mnaweka kuondowa attention za watu kwa dhuluma zenu kwa kuudandia msiba huu?

matola mbowe ni kiongozi mkubwa tu wa chadema
rejao more update please
 
Twende mbele turudi nyuma pia. Tunaambiwa Lulu pia ana majeraha, tujiulize, je aliyapataje majeraha hayo? Pengine alitenda katika hali ya kujaribu kujiokoa. Yote kwa yote lolote linaweza kutokea, bila ya shaka ukweli halisi utajulikana baada ya ripoti za wataalamu wetu.
 
Mwigizaji Lulu.
Is she relly responsible.
she looks innocent.
 
Wandugu, watu kama akina Kanumba nchi nyingine huwapa VIP passport na huwa wanapewa mazishi ya Kitaifa, nchi zinazotambua mchango wa wasanii hawa katika kukuza jina la taifa husika katika nchi mbalimbali duniani na hata katika maendeleo ya nchi hasa katika kuelimisha nk

J e kanumba anastahili mazishi ya kitaifa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…