Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Na sitashangaa kuona bendera ikipepea nusu mlingoti. Kisichowezekana kwingine kokote duniani, Bongo kinawezekana tena kiulaiiiiini.
 
Just take a second to imagine that in the scandle of Kanumba's death Wema plays as LuLu.How could Tanzania errupt if not xplode?
 
Naona Johari anashindwa kuelezea kutokana na majonzi.
 
saizi mapedeshee wanapigana vikumbo kumtoa lulu ili wajimilikishe.!!
 
R.I.P The great one. We'll always miss you broda..:shock:
 
weka hizo update hapa wewe sio kila mtu anaangalia tv muda huu? Kma huwezi kaa kimya.

huna uwezo wa kuniambia nikae kimya kuku wa kisasa wewe! Kwani ungesema kwa polite language si ningekuelewa tu! Tuheshimiame
 
Aisee! Kweli Mungu huwa hawahi na wala hachelewi. Ajali ni ajali tu, naye ndiye adakaye na kurejesha nafsi zake zizini. Hata ukiwa na uzito zaidi ya mlima kilimanjaro, hata uwe chizi wa kuokota makopo. Siku ikifika imefika tu.
 
redio zetu hakuna coverage kabisa....kanumba was great bana.....tv ndio kabisa..tbc wanapiga mitaarabu yao......
hii inanikumbusha kipindi kile majira wakatoa habari ya zito ilihali chadema ilikuwa imefiwa... all in all, thanks to clouds fm n tv............ their tryin to inform us esp sisi tulio nje ya nchi.........
 
Heshima kwa wote, nimefurahishwa na mjadala huu, maana na dhani hoja ya msingi ni uwezo wa nchi zetu kutambua na kuvikuza vyanzo vya kiuchumu, kisiasa na kiutamaduni kama filamu na muziki vinaweza kabisa kubadili siasa, uchumi na utamaduni wa nchi katika hali iliyonjema, ila upofu wetu tunang'ang'ania uchumi katika macho hafifu na yenye kuona sehemu ndogo tu ya opportunitites. ...
 
Mdogo wake amethibitisha kuwa kabla ya kifo alikuwa na Lulu, lakini amekanusha kuwa hakakuwa na ugomvi kati yake na Lulu.
 
mdogo wa Marehemu athibitisha kuwa kulikuwa na majibizano baina ya Kanumba na Lulu.
 
Ruta, thread ni ya Kanumba hii. kaanzishe nyingine ya Liyumba maana hapa naona unatuchanganya tu.
RIP mdogo wangu Kanumba.

 
naangalia eatv sasa hivi anahojiwa mdogo wa kanumba...

anasema ni kweli alikuwa na lulu na aliwakuta wakosebuleni....

aliwakuta wakiwa na kama ugomvi fulani hivi kuhusu simu...later wakaingia chumbani....na yeye akaingia sehemu nyingine ya nyumba

baadae anasema walikuwa wanabishana bishana...kuhusu simu..inaonekana lulu alikuwa anaongea na simu ambayo kanumba alimind.....yeye hakujali maana alijua ni mambo ya kawaida tu....

later lulu akatoka chumbani akamwambia mdogo wa kanumba kuwa kanumba kaanguka....akamkuta kanumba anatoka mapovu......
akampigia dr wake....ndio akapelekwa hospital.....

anaendelea kusema kuwa lulu kwa sasa yupo polisi.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…