Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Unasema hivyo kwa kuwa hatukuwahi kusikia wamegombanaa au..
 
kale katoto kamekuwa huku marehmu akikaangaalia...kamepevuka tu watu wakapanga foleni...kalkuwa hakajatulia hata kidogo...bado nasisitiza marehemu alipaswa kuwa na kifua kipana sana...huyu mtoto ilikuwa shakula ya wote
 
kanumba ni binadamu wa kawaida sana kama nilivyo Mimi au ww, kifo kimewekwa na mungu ili nafsi za wanadamu washtuke
 

Ukimwambia mtu ukweli ndio umemhukumu eti....subiri uone watakakaposom historia ya marehemu....'alikuwa kipenzi cha vijana wote, alipenda kuwafundisha sanaa ya maigizo mabinti wadogo hadi kuhakikisha wanafikia levo ya Kenywood...brah, brah...' hiyo kwako siyo hukumu. Ukweli ni mchungu!
 
Hivi Wako Jacko na Whitney H (RIP) walipata mazishi ya kitaifa eeh! Mkulu kulu wa white House alihudhuria mazishi yao?
Mzee wa Magogoni yupo nasi pamoja kwa hali na mali.
 
ukiangalia hizi tweet kanumba ali tweet mara kibao kwa lulu ila lulu hakuwa interested sana ku tweet back ali tweet mata mbili tu......

inaonekana kanumba alikuwa kafika kichizi kwa haka ka toto
si ndio maana kafa..au?
 
haka katoto kina kanumba haa ndo wamekafundisha uigizaji kakiwa katoto kabisa....wao ndo wamekuwa wakikamega ..na kingneni ni kwamba huyu mtoto alikuwa hajatulia hata kidogo....marehemu alipaswa kuwa na kifua kipana sana..hakukuwa na sababu ya kugombana wakati anajua huyu mtoto ni shakula ya wote
 
huyu binti ametimiza miaka 18 mwaka jana october kama sikosei.....jamaa alikuwa anatafuna kwa uzuri kabisa
 
 
wewe ni hakimu? maswali kibao ya nini banaa

Kanumba yuko mbele ya HAKIMU wa kikwelikweli acha hawa wababishaji watupu............atajibu hizi khoja na nyinginezo ambazo alituficha lakni kwa MUUMBA ni bureki ya yote............
 
Reactions: tbl
kanumba ni binadamu wa kawaida sana kama nilivyo Mimi au ww, kifo kimewekwa na mungu ili nafsi za wanadamu washtuke na kumrudia mwenyewe mungu. Leo kifo cha kanumba kimekua ndo story ya Tanzania, je nimarangapi umekutana na watu njiani wanaenda kuzika na ukaona ni kitu cha kawaida tu? inapotokea kwa famous people watu ndo wanashtuka. huwezi amini, kifo cha kanumba kimeumiza watu kuliko watu zaidi ya 40 waliokufa kwa mvua kubwa pale jangwani.

natoa pole kwa familia ya kanumba kama binadamu mwezangu kwani msiba ni kitu kinachouma sana na sio pole kwakua tu alikua msanii wa Bongo movie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…