Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Nilikuwa siangilii movie zake,lakini chanzo cha kifo chake kimenisikitisha,ulikuwa na maisha mbele yako,KANUMBA mapenzi yamekuwa chanzo cha kutotimiza ndoto na plans zako
 
mseme yote,but in ma side namuombea sana best angu mola amuepushe na jan
ga hilo
 
Dah inasikitisha sana...na wengine tujifunze maugomvi hayasaidii..sasa kwani angempatia hiyo simu akajionea mwenyewe yasingetokea yote haya. ndo shida za kuwa na wapenzi micharuko mpenzi aliyetulia ukimuomba simu yake atakupatia kiulaini tu
Hatuwezi tambua yaliyo mbele yetu!
 
r.i.p kanumba, huyu jamaa alikuwa maarufu ndio anahitaji kupewa heshima kama binadamu mwingine lakini sidhani kama anaingia kwenye list ya kupewa mazishi ya kitaifa ....
 
Dah inasikitisha sana...na wengine tujifunze maugomvi hayasaidii..sasa kwani angempatia hiyo simu akajionea mwenyewe yasingetokea yote haya. ndo shida za kuwa na wapenzi micharuko mpenzi aliyetulia ukimuomba simu yake atakupatia kiulaini tu

Labda yangetokea kinyume chake!
 
GreatThinkers,
Ni kazi kubwa sana kutoa tongotongo la ujana na usharobaro kwa vijana wanaopata pesa mapema.
kwanin kila siku wasanii wafe kwa mambo yanayoshahiana!!!!!
RIP kamanda
 
mwenye picha ya lulu atuwekee jukwani.kwani Lulu ninani?
 
alikuwa ni mtu wa Mungu mengine ulikuwa ni usanii na wala siop dhambi.
 
Jamaan! Dah Mungu akuweke mahal pema peponi
 
RIP Kanumba!
Poleni wafiwa wote na wtanzania kwa ujumla.
Kwakweli tumeondokewa na kifaa, alikuwa ameiinua sana Tanzania katika medani za filam.
 
Naomba tukatendee haki haka katoto!. Mwenye mamlaka ya kutaja chanzo cha kifo ni daktari, na mwenye mamlaka ya kumtaja mhusika ni jeshi la polisi!.

Nashauri subirini taarifa ya dakitari kuhusu chanzo cha kifo. Mpaka sasa hakuna uthibitisho kuwa Lulu alimsukuma, inawezekana kwenye purukushani hiyo, ni Kanumba mwenyewe ali bugi step akateleza na kuanguka bila kusukumwa na yoyote!.

Hata kama ni kweli Lulu alimsukuma, chanzo cha kifo sio lazima kiwe kimetokana na kusukumwa!. Inawezekana Kanumba alikuwa na heart problem, pressure etc, hivyo alipokasirika pressure zikapanda, au akapata heart failure ndipo akaanguka!.

Hata kama ni kweli alijigonga, subirini madaktari wathibitishe chanzo cha kifo ndipo tuendelee kujadili!.

Najua msiba huu ni huzuni kubwa, lakini nawaombeni sana, lets not be judgemental kwa Lulu!.

Mimi ni miongoni mwa waumini wakubwa wa the doctrine of "karma", kuwa there is nothing new under the sun, hakuna coincidence wala bahati mbaya, lolote ambalo limetokea, lilikuwa litokee tuu, yaani siku ya mpendwa wetu Kanumba ndio ilikuwa imefika, saa ilipotimia Mungu akamuita, hata asingesukumwa, angefia usingizini!.

After all, there is life after life and life before life!, death ni change tuu ya life form from physical body to spiritual body!.

Rip Kanumba.

Pasco
 
hicho kitoto kipo lumande mpaka kijulikane source ya kifo cha the great k.so hatuwezi kujua now what was the source.

Asante kwa taarifa mkuu...!!! Na huyu Ray??nasikia alikuwa bize anappiga picha mochwari....sijasikia akihojiwa!! Aliombwa au??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…