Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,647
mshamba tu huyo tena yawezekana kafurahia kifo cha kanumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama keshatimiza basi hukumu ya kifo inamhusu
Lulu ulinitenda ukakimbilia wenye pesa. Sasa unaona matokeo yake?
Dhambi inaua.Pole Kanumba,nenda jehanam salama.
picha ziko wapi???
kwani alichukuliwa si usiku mkuu?
mngu alitoa na mngu ametwaa.rest in peace the great
Mambo freemasons hayo
Leo siyo siku ya kazi, kaoge, ukojoe na ulale mapema. Jamii ya kistaarabu ya kulipua wenzenu na kujilipua wenyewe kwa mabomu? Ndugu huna pointi, hata mimi nilikosa pointi nilipokuwa huko kwako miezi michache iliyopita. Leo mada hapa Kanumba kafariki, how come mtu anakuja na kushangilia kwa kifo chake?
R.I.P Kanumba ila umetuachia funzo kuwa wazazi ni MUNGU wa pili duniani ...LULU sasa kwako yametimia ni zamu ya dunia kukufunza walimwengu tulishatimiza wajibu wetu lakini hukutusikia