Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

kama keshatimiza basi hukumu ya kifo inamhusu

Acha we mtu kupenda mwenzako apate hukumu ya ajabu kiasi hicho hata kama ana kesi ya kujibu hukumu yake haiwezi kuwa hivyo kwan hiyo siyo murder ni manslaughter kwan safari yake hakupanga kwamba anaenda kuuwa kwan kesi yake ina utetezi elekezi kama kesi ya ditopile mzuzuri...tupate subira kidogo!
 
I can hardly believe that! Ukisikia ulimbukeni uliopindukia ndo huo!
 
Ni pigo kwa tasnia ya filamu bongo,Kanumba aliifikisha tasnia ya filamu bongo katika level ya kuanza kukubalika kimataifa,tukio la muvi yake ya Devils Kingdom kuingia katika kushindanishwa katika tuzo za filamu za West Africa linathibitisha hili.Namkubali sana katika muvi zake nyingi alizoigiza hasa ile ya Moses.
 
Wabongo hawana maana wangesema hayo yote kasababisha Diamond iapelekea wema Kupata frustration na kuamua kumrudia mpenzi wake wa zamani lakini kwa sababu bado alikua anampenda Diamond ndo maana akawa anampigia usiku ule hali iliyopelekea kukutwa na Chief Kanumba na kupelekea hayo yote
 
Kwel watanzania mnapenda siasa. Yaan kila kitu ni politics! Na kifo tena!? RIP Kanumba
 
Nimeamini mangosha wanapenda watoto weupe
 
R.I.P Kanumba ila umetuachia funzo kuwa wazazi ni MUNGU wa pili duniani ...LULU sasa kwako yametimia ni zamu ya dunia kukufunza walimwengu tulishatimiza wajibu wetu lakini hukutusikia

Unataka kutuambia Kifo chake kimesababishwa na mzazi wake. Lulu naye alipenda kifo kitokee? Kuwa makini na post yako mku, hujafa hujaumbika.Dunia ni pana kuliko unavyochukulia
 
Hajui kama na yeye anaweza kurest in peace muda wowote na akaviacha hivyo vitu vya dunia!!!! Nilimuona EATV leo alionekana kwenda msibani kujionyesha.
 
Amefanya makubwa kwa kipindi alicho ishi duniani. Mungu amlaze mahala pema peponi. Amina
 
Back
Top Bottom