Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Homicide?Huyo Lulu ndo suspect?Was it accidental?Duh!noma kweli kweli.
RIP Kanumba.
 
Just watched that Mikasi episode, one keeped on wishing that this was another one of those rumors, but sadly it appears no, too many sources saying the same thing.

So much potential to fulfill.

May all beings attain enlightenment.
 
Inasemekana ni chanzo cha mapenz kuwa jamaa alikuwa anataka kutoka mida ya saa 6 usiku akiwa bafun anaoga akasikia kuwa anaedaiwa kuwa ni mpenz wake anaongea na simu na mwanaume mwingine ukatokea ugomvi wa apa na pale ndipo kanumba akasukumwa akaangukia kisogo
source:clouds fm kutoka sinza vatican
 
"hopeful ni habari ya kweli"?? kwa hiyo ulikuwa unasubiri afe?

PKA
it has been edited mkuu, nilichokuwa najaribu kusema ni habari iliyothibitishwa na sio cooked story , sorry kwa makosa yaliyojitokeza.
 
NIni kimekekuta mwana wa Tanzania ?

Haiingii akilini,

Na inaniwia ngumu kuamini!

Mbona nyota yako imezimika ghafla namna hii?

Dah..............R.I.P Steven Kanumba umeipeperusha vyema bendera ya Tanzani
 

lulu?????? Huyu mtoto au mwingine?
 
R.I.P. Kanumba. Pole kwa familia na marafiki.

Steve Dii
 
Source RFA

Mwigizaji maarufu hapa nchini Steven Kanumba kafariki dunia maeneo ya mbagala kwa ajari ya gari
 
Wapendwa wana JF kuna taarifa za kuskitisha na kuhuzunisha kidogo, Msaanii maarufu katika tasinia ya uigizaji hapa nchini Stephen Kanumba amefariki dunia nyumbani kwake. Inasemekana kifo chake kimetokana na ugomvi. Nawasilisha,Chanzo cha habari hii ni TBC Taifa.
 
Jamani niwekeeni picha ya huyu Lulu tumuone tena vizuri. duh siwish kabisa kuwa yeye sasa hivi.
 
rip kanumba.. ni Lulu gani wanayemzungumzia . .. kale katoto kalicho balehe mwaka jana na kufanya party .?
 
RIP Kanumba,inasemekana alikuwa na Lulu na walikuwa wanajibizana sasa ikatokea Lulu kamsukuma ndo kaanguka vibaya ikapelekea hali hyo
 
The Great amefariki kwa kuanguka kwa kusukumwa anaezaniwa mpenzi wake Lulu na akaangukia kisogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…