jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Homicide?Huyo Lulu ndo suspect?Was it accidental?Duh!noma kweli kweli.Clouds fm live dakika zilizopita mtu aliepo nyumbani kwa marehemu, watu wanazidi kufika ndugu zake bado hawajafika.
Kanumba alikuwa anaoga wanavyodai majirani saa sita usiku alitoka bafuni kuingia chumbani eti akamkuta Lulu anaongea simu ya mapenzi na mwanaume mwingine, wakagombana na akasukumwa na kuangukia kujigonga na ndio kilichosababisha kifo chake. sasa msemaji amesema kuwa hii ndivyo inavyoelezwa pale na wanasubiri wataalamu watoe taarifa yao, inaelekea ugomvi ulikuwa mkubwa kati yao hadi majirani walisikia.
Kwa hiyo kwa sasa ni kauawa na Mpenzie
RIP
RIP Kanumba.