Lexus, markII GX 110, Hiace, Kiwanja Mpiji, Bank accounts, marafiki, wapenzi, umaarufu, kupendwa, ndoto za kufika Hollywood, Ndoto za kujenga maghorofa, ndoto za kuingia ulingo wa kisiasa,.....Vyooote hivyo huwa vinaachana na wewe katika siku moja inayoitwa siku yako ya kufa. Kisha unaenda mbele ya hukumu yako. Ni mwenyezi Mungu tu ndiye unakuwa mbele zake hata baada ya kifo.
Kwa hiyo tunajifunza kukumbuka hilo. Yeyote, wakati wowote, mahala popote kwa sababu yeyote ile yanaweza kumkuta. Tumwombe Mwenyezi Mungu zaidi na zaidi, hatujui yatakayojiri. The great man is gone!!!!