Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Pamoja na Michael Jackson
kuwa maarufu duniani hakupewa mazishi ya kitaifa hata rais Barack OBAMA hakuudhuria. Tunajua mzee wa mazishi hatakosa!!! C mnamjua?!
It is the only thing in the world he can do with a 100% performance.
Of coz na kutalii yuko safi
 
Asante kwa taarifa mkuu...!!! Na huyu Ray??nasikia alikuwa bize anappiga picha mochwari....sijasikia akihojiwa!! Aliombwa au??

Huyu Vicent Kigosi awekwe chini ya ulinzi, huwezi piga mapicha wakati watu wako ktk majonzi aaghrrr!
 
..Lakini mimi nachukia sana hii misiba kutumiwa kisiasa.

..hebu ona hao wengine wanavyokenua hapo wakisubiri kutia saini kitabu cha maombolezo??!

..kama serikali ingeboresha huduma za AFYA huenda maisha ya Kanumba yasingepotea.

NB:

..kumezuka ujanja-ujanja wa kutumia misiba, walemavu, na watoto, kama mtaji wa kisiasa.
 
nadhani mpaka sasa mama haamini,afikapo DSM na kuona mwili wa marehemu itakuwa hapashikiki

pole mama
 
Alikuja juu ghafla, mara akawa na kampuni, mara akaanza kufyatua movie kila kukicha, mara akanza kuigiza na wanaigeria.....so alikuwa midomoni mwa watu na machoni mwa luninga za watu...!!!

hapo umenena
 
Kuna mambo yananipa hasira sana:

1. Kwa nini wanabeba mwili wa marehemu bila kufinika - very undignified. Wamembeba marehemu kama paka huku wengine wakipiga picha mwili wa marehemu.

2.Tabia ya vyombo vya habari ku-film wakati mwombelezaji analia! This is the lowest and private moment. Unaombeleza huku watu wanakupiga picha? hii ni intrusion kabisa.

Mwisho, badala ya kugeuza kifo cha Steve Kanumba kuwa mashindano ya kulia let's remember him kwa mazuri aliyofanya. Steve alikuwa mtu wa watu, amefanya mengi mazuri, ameburidisha watu kupitia kipaji chake cha uigizaji. Tutumie muda huu kumshukuru mungu kwa muda aliotupa kuishi na Steve and celebrate his short life. Kulia ni private issue, lakini cha muhimu hapa ni Steven na his memory.
nini picha, bado lile zoezi la kuonyesha maiti, wenyewe wanaita kuaga maiti, hapo drama kibao huku kiu na ijumaa wakiongoza drama
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Pamoja na Michael Jackson
kuwa maarufu duniani hakupewa mazishi ya kitaifa hata rais Barack OBAMA hakuudhuria. Tunajua mzee wa mazishi hatakosa!!! C mnamjua?!
It is the only thing in the world he can do with a 100% performance.
Of coz na kutalii yuko safi
 
..Lakini mimi nachukia sana hii misiba kutumiwa kisiasa.

..hebu ona hao wengine wanavyokenua hapo wakisubiri kutia saini kitabu cha maombolezo??!

..kama serikali ingeboresha huduma za AFYA huenda maisha ya Kanumba yasingepotea.

NB:

..kumezuka ujanja-ujanja wa kutumia misiba, walemavu, na watoto, kama mtaji wa kisiasa.

Huduma za afya zingeweza kuzuia kanumba asisukumane na LULU au...?
 
Ndg wafiwa wote poleni kwa msiba wa kipenzi chetu Kanumba,najua ni pengo ambalo halitazibika kamwe,bcoz hatotokea Kanumba mwingine,Juma atabaki kua Juma,Ray atabaki kua Ray na Mtitu atabaki kua Mtitu.
Ila wanadamu tumeghafrika sana juu ya hii dunia,tumejisahau na kuona kila kitu ni Duniani,tumeichana Akhera na kuipamba Dunia,hii imepelekea mpaka sasa tunaogopa kufa,maana ukifa basi ujue huko unakoenda baada ya duniani hukujenga japo kibanda cha nyasi kama kile cha"hayati mzee MUNDU"ili ufikie,sasa utaenda kuishi chini ya mti?
Jee nani atakua tayari kwenda sehemu ambayo anasubiliwa kwa mapanga na marungu?
M/mungu aliumba dunia,kisha akawamba viumbe akiwamo mwanadamu,lengo la kumuumba mwanadamu ni kuja Duniani kumuabudu tuu,haya mengine ya riziki ni ziada tuu.
Kama marehemu yeyote katimiza wajibu wake hapa Duniani hatuna haja ya kusikitika pindi M/mungu anapochukua hazina yake.
Baada ya hilo naomba kuacha swali.
Je Kanumba katimiza wajibu wake hapa Duniani??
"NAOMBA KUWAKILISHA"
M/mungu ailaze roho ya marehemu Kanumba peponi!

Ahsante kwa kutukumbusha mkuu.
Ni kweli kabisa wanadamu tumejisahau.
Mungu akubaliki sana kiongozi.
 
Hapa tunajadili
siasa kati ya ccm
na chadema tu,
usituletee uchuro
hapa! Peleka fb
ndo sehemu yake.
 
Sasa si uyaseme hayo ambayo wanapaswa kujifunza? Mbona unaongea kwa mafumbo?
ninyi wasanii vipi? wewe unaona sawa kwa jinsi mazingira ya kifo yalivyomkuta msanii mwenzenu? umri ule hakupaswa kuishi kihuni, anyway, R.I.P kanumba
 
Back
Top Bottom