Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Kama unanituhumu kuwahukumu Alshaabab, Alqaeda, Boko haraam na WENYE KUWAUNGA MKONO kwa hakika niko tayari shutumu hadi kukuche wala sitabadilika kwasababu na wewe utakuwa mmoja wao kwa hakika.
Ndugu achana na hilo jitu, litakutoa nje ya mada sana hilo, sijui ni jini au vipi! Lipo kwa kutetea ujinga tu.
 
NDUGU ACHA UDOGMATISM KTK VITU VYA MSINGI VINAVOHUSU MAISHA YAKO KAMA DINI,USIPENDE SANA KUHUBIRIWA KUHUSU DINI,CHUKUA VITABU VYA DINI UVISOME,SOMA BIBLIA UIJUE,NA USIPENDE KUSOMEWA
NAN KAKUAMBIA KUA KTK DINI YA UISLAM WATU KAMA ALSHABAAB,ALQAEDA,BOKO HARAM NA WENGNE WENGI WANARUHUSIWA KUFANYA IVO NA SHERIA ZA DINI HII??
Je hao MAKASISI MASHOGA,WALAWITI,WANAOFANYA MACHAFU NA WATAWA WA KIKE KILA SIKU WAMERUHISIWA?
Acha kuishi kwa propaganda,mwisho wa siku ukiondoka hapa ulimwenguni unaondoka pekeyako...!

Acha kukurupuka, soma nilichoandika.....

My Take... Ukirusha jiwe gizani ukasikia mh.... ujue kapatwa....


BACK TO THE POINT.... Poleni wote mlioguswa na msiba huu nashauri kama hujaguswa, potezea as if hujauona huu uzi. Si ajabu kwani waliouona ni zaidi ya elfu 30 lakini sio wote wamechangia. Kama una nyongo yako anza uzi wako tuchangie huko otherwise kaa kimya.
 
Huduma za afya zingeweza kuzuia kanumba asisukumane na LULU au...?

KIM KARDASH,

..nimesema huenda...

..tukio hili limenilazimisha kuzungumzia suala la afya nchini kwetu ktk ujumla wake.

..kwenye nchi zenye huduma nzuri za afya wanakuwa na kitu kinaitwa emergency med services. sasa huduma hiyo humfikia mtu muda mchache sana baada ya kutolewa taarifa ya emergency.

..mimi nina ndugu yangu alifariki kutokana na shinikizo la damu. alipata matatizo watu wakaanza kuhangaika kutafuta texi kumuwahisha hospitali. sasa by the time wanamfikisha hospitali ameshakata roho.

..kwenye nchi za wenzetu huwa wanaita ambulance services. manesi huanza kumshughulikia mgonjwa tangu yuko kwenye ambulance mpaka anafika hospitalini.

..hoja yangu ni kwamba viongozi have to do something about huduma za afya nchi hii, badala ya kusubiri misiba na kujitokeza huko huku wamejikunyata na kukunja sura.
 
Hakijajulikana ila mtangazaji anajaribu kupaint kama kauawa na watu wameanza kunyooshea wenzao vidole
 
Hizi mbio za Urais za CCM zitawapeleka pabaya sana, yaani huo msiba unnataka kugeuzwa Siasa!!......Namsubili Laigwan Lowasa naye sijui anakuja lini kusaini huo msiba. usikute hawa CCM hata protocal ndogo tu ya kwenda kutia saini kitabu cha Maombolezo pale Ubalozi wa Malawi imewashinda, wao wanaota Urais tu Vilaza hawa.
 
R.I.P Kanumba ila umetuachia funzo kuwa wazazi ni MUNGU wa pili duniani ...LULU sasa kwako yametimia ni zamu ya dunia kukufunza walimwengu tulishatimiza wajibu wetu lakini hukutusikia
Tuheshimu privacy ya wafiwa katika kipindi hiki kigumu. Kesho tutaongea hayo mengine.
 
ITV wanaprogramme zao. Kanumba kasha kufa then wafanye nini? Who is kanumba then!!! wale wanaoendelea kuonesha hawana la kufanya.
 
Katika kuenzi kazi za Kanumba tujuze filamu yake uliyoiona na maelezo mafupi juu ya filamu hiyo.
 
no hastahili kupewa state burial. Kwani ye nani hapa Tanzania, katufanyia nini cha kumkumbuka. Mwisho wenu mtaomba hata naye Zembwela azikwe kwa state burial.
.
Zembwela please usipitie uzi huu,
wanakufanyia maandalizi ya msiba.
yani waweza anza chagua utakaopenda waje msibani.
 
Hakuna uchungu mbaya kama wa mzazi kuona mwanae amefariki.r.i.p steven kanumba.
 
Huduma za afya zingeweza kuzuia kanumba asisukumane na LULU au...?
Wewe na akili zako za kujaza kizibo cha bia huwezi kuona mbali. Nenda shule ndio utaelewa zaidi.
By the way huyo kanumba wako alilifanyia nini taifa letu? hamna na kifo chake ni kama maelfu ya watanzania wanaokufa kila siku. Sioni kwanini apewe special treatment na hao wanasiasa wanaoenda hapo usifikirie wameguswa na 'mtu muhimu' aliyekufa. Wako kazini. RIP Kanumba.
 
Back
Top Bottom