Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

mkuu cc wa mikoani unatusaidia sana,
big up 2jf
 
Pamoja na Michael Jackson
kuwa maarufu duniani hakupewa mazishi ya kitaifa hata rais Barack OBAMA hakuudhuria. Tunajua mzee wa mazishi hatakosa!!! C mnamjua?!
It is the only thing in the world he can do with a 100% performance.
Of coz na kutalii yuko safi
 
Asante kwa taarifa mkuu...!!! Na huyu Ray??nasikia alikuwa bize anappiga picha mochwari....sijasikia akihojiwa!! Aliombwa au??

Huyu Vicent Kigosi awekwe chini ya ulinzi, huwezi piga mapicha wakati watu wako ktk majonzi aaghrrr!
 
..Lakini mimi nachukia sana hii misiba kutumiwa kisiasa.

..hebu ona hao wengine wanavyokenua hapo wakisubiri kutia saini kitabu cha maombolezo??!

..kama serikali ingeboresha huduma za AFYA huenda maisha ya Kanumba yasingepotea.

NB:

..kumezuka ujanja-ujanja wa kutumia misiba, walemavu, na watoto, kama mtaji wa kisiasa.
 
nadhani mpaka sasa mama haamini,afikapo DSM na kuona mwili wa marehemu itakuwa hapashikiki

pole mama
 
Alikuja juu ghafla, mara akawa na kampuni, mara akaanza kufyatua movie kila kukicha, mara akanza kuigiza na wanaigeria.....so alikuwa midomoni mwa watu na machoni mwa luninga za watu...!!!

hapo umenena
 
nini picha, bado lile zoezi la kuonyesha maiti, wenyewe wanaita kuaga maiti, hapo drama kibao huku kiu na ijumaa wakiongoza drama
 
Reactions: FJM
Pamoja na Michael Jackson
kuwa maarufu duniani hakupewa mazishi ya kitaifa hata rais Barack OBAMA hakuudhuria. Tunajua mzee wa mazishi hatakosa!!! C mnamjua?!
It is the only thing in the world he can do with a 100% performance.
Of coz na kutalii yuko safi
 

Huduma za afya zingeweza kuzuia kanumba asisukumane na LULU au...?
 

Ahsante kwa kutukumbusha mkuu.
Ni kweli kabisa wanadamu tumejisahau.
Mungu akubaliki sana kiongozi.
 
Hapa tunajadili
siasa kati ya ccm
na chadema tu,
usituletee uchuro
hapa! Peleka fb
ndo sehemu yake.
 
Sasa si uyaseme hayo ambayo wanapaswa kujifunza? Mbona unaongea kwa mafumbo?
ninyi wasanii vipi? wewe unaona sawa kwa jinsi mazingira ya kifo yalivyomkuta msanii mwenzenu? umri ule hakupaswa kuishi kihuni, anyway, R.I.P kanumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…