Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Ndiyo maana wasanii wakigombea uongozi wanashinda kutokana na umaarufu wao.
 
si kama kanumba nature zamani si siku hizi maana katia ya neture na diamond ndo watu wa kuliganisha naye bt si kanumba the great
 
hii ni insult kwa marehem kwanini mnaichekea nyie mods?
 
BTW, msiba uko nyumbani kwake chuo kikuu,
na kwa waloguswa, anayesimamia utaratibu ni DK. Manya.
 
Wanajiolojia tu ndiyo wanaoomboleza.
Yaani ni sawa na wanafamilia wote kuomboleza kifo cha mmoja wa wanafamilia yao

Ungejua wanajiolojia wa Tanzania wanaomboleza parefu sana, usingeitoa hii habari kwa staili hii.

prof Muta was Great, ana atabaki akikumbukwa sana kwa mchango wake.
 

yaani watu wanashangaa, hivi kifo kinaweza kumchukua mtu anayeonekanaga kwenye luninga na dvd! ngoja tukaone kama ni kweli. RIP KANU
 
pia vijana mjitahidi kuoa au kuwa watoto mtakapokuwa na mafanikio japo hata wa kusingiziwa tu.
 
Toka nimeingia naona kanumba, kanumba..kanumba msaanii..mi hata simjui, yaan nipo ktk hii nchi afu hata cjui kinachoendelea..daa!
 
watu wote wanaomboleza
ila kwa waliowahi kumsikia akipresent kitu
au kufanya naye kazi wanaelewa navyosema jiolojia ya inaomboleza parefu.

Ukizingatia DK. msindai kaondoka mwaka jana tu bado hata pengo halijazibwa.

prof Kapilima naye aliondoka, kama miaka 3 au 4 iliyopita, hivyo vyote ni vichwa vilivyokuwa na experience ya zaidi ya miaka 25.

Wanajiolojia tu ndiyo wanaoomboleza.
Yaani ni sawa na wanafamilia wote kuomboleza kifo cha mmoja wa wanafamilia yao
 
Mpola mahe, katonda akwebembele..jf mwagira ehibi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…