Wakuu nimesikia tetesi kuwa marehemu Steven Kanumba eti alikuwa hapatani na baba yake mzee Charles Kanumba?nimeona nyumba anayoishi baba yake Steven iliyopo Ngokolo mkoani Shinyanga haiendani na utajiri aliokuwa nao marehemu,ina maana Steven alishindwa kumjemgea baba yake nyumba.
Mambo freemasons hayo
[TABLE="class: infobox vcard, width: 1"]
[TR]
[TH]Amezaliwa[/TH]
[TD]Steven Charles Kanumba
Januari 8 1984 (umri 28)Shinyanga, Tanzania[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Amekufa[/TH]
[TD]Aprili 7, 2012 (umri 28) Dar es Salaam, Tanzania
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Kazi yake[/TH]
[TD]Muigizaji, Mtunzi, Mtayarishaji,Muongozaji[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
.....umepiga cha Arusha wewe....
lakini hutajiri unaozungumziwa hapo ni mapato ya shs milioniyeye ndio anawalipa?
Nimeanza kufuatilia tangu asubuhi habari za msiba wa msanii huyu kipenzi cha wengi, nimegundua kwamba ni msanii aliyekuwa anajulikana na kupendwa sana na watu kuliko wote, je ni kweli Kanumba alikuwa ndiye msanii anayejulikana na kupendwa zaidi au ni sifa za marehemu tu? Na kama jibu ni hapana unahisi ni msanii gani ambaye ni maarufu kumzidi kanumba?
kwa kweli kina dada sasa mmeamua ipo siku Mungu atafanyia
huyo hapo lulu,ajali kazini hiyo duh