Johnson Mdoe Mchaina
R I P
- Dec 1, 2011
- 138
- 23
pole sana mama hata hili litapita .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba tukatendee haki haka katoto!. Mwenye mamlaka ya kutaja chanzo cha kifo ni daktari, na mwenye mamlaka ya kumtaja mhusika ni jeshi la polisi!.
Nashauri subirini taarifa ya dakitari kuhusu chanzo cha kifo. Mpaka sasa hakuna uthibitisho kuwa Lulu alimsukuma, inawezekana kwenye purukushani hiyo, ni Kanumba mwenyewe ali bugi step akateleza na kuanguka bila kusukumwa na yoyote!.
Hata kama ni kweli Lulu alimsukuma, chanzo cha kifo sio lazima kiwe kimetokana na kusukumwa!. Inawezekana Kanumba alikuwa na heart problem, pressure etc, hivyo alipokasirika pressure zikapanda, au akapata heart failure ndipo akaanguka!.
Hata kama ni kweli alijigonga, subirini madaktari wathibitishe chanzo cha kifo ndipo tuendelee kujadili!.
Najua msiba huu ni huzuni kubwa, lakini nawaombeni sana, lets not be judgemental kwa Lulu!.
Mimi ni miongoni mwa waumini wakubwa wa the doctrine of "karma", kuwa there is nothing new under the sun, hakuna coincidence wala bahati mbaya, lolote ambalo limetokea, lilikuwa litokee tuu, yaani siku ya mpendwa wetu Kanumba ndio ilikuwa imefika, saa ilipotimia Mungu akamuita, hata asingesukumwa, angefia usingizini!.
After all, there is life after life and life before life!, death ni change tuu ya life form from physical body to spiritual body!.
Rip Kanumba.
Pasco
....anaitwa Leodigard Tenga.
yeye ndio anawalipa?Angalia hizo movie kwanza, kuna script writer , kuna watu wa taa, kamera,sound, kuna distributors, actors, na wengineo nini zaidi unataka?
kana miaka 16,marehemu alivunja sheria kuishi na mtoto kinyumba bila ridhaa ya wazazi
kanadai kati ya wanaume 14 kalikotembea nao ni wawili tu walimfikisha
kakivaa nguo ndefu eti kanawashwa,mwaka huu ndo kalitakiwa kawe kidato cha 4
(wajawazito temeeni mate mbali)
Inaitwa THIS IS IT! halafu subiri uone watu watakavyoutumia huu msiba kibiashara. si mnakumbuka Michael Jackson.
Big daddy,moses,a point of no return,magic house,the devil kingdom na nyinginezo nying we zitafute then ucheki.