Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umesema ukweli ingawa inaumaMshahara wa dhambi ni mauti:heh:
pole sana unaishi wapi ??mbona sielewe? nini kimemuua kanumba?
Rahisi sana kutabiri mechi iliyokwisha kuchezwa.
Rahisi sana kutabiri mechi iliyokwisha kuchezwa.
Huu ni ugoro au tumbaku?
nina wasiwasi kama raisi wako utakuwa unamjua
Mkuu wewe ni kama mimi nilikuwa simjui
nikauliza badala nijibiwe nikaulizwa raia wa wap?ila nimeona picha zake angalau..ni msanii wa maigizo kama sijakosea.
mwenye post kasema 'msanii',kwan msanii ni wa filam tu?jipange..
usiku wa kuamkia ijumaa (jana) niliota ndoto ya ajabu. Kwamba nilikuwa katika mji fulani mkubwa, lakini ghafla mawinguni upande wa magharibi nilikiona kikundi cha wasanii, walikuwa kama wa tano hivi. Wote wakiwa ndani ya suti nyeusi na mashati meupe na bulls' tie. Nilivyo waona ilikuwa kama vile "projector" ilikuwa mahali na kutumia mawindu kuwa kama 'screen'. Picha za wale wasanii zilikuwa ni aina ya pasipoti ila zilikuwa kubwa sana na nilimfahamu kiongozi wa kikundi kile aliyekuwa mbele na ukubwa wake wa pale mbele aliwaziba wengine wa nyuma. Huyu mtu alikuwa ni steve. Basi sikujali.lakini nikaenda mji mwingine mdogo, kule tena ile picha ikaibuka. Safari hii wale wasanii wakaimba sana mziki wakifurahi (ilikuwa kama move hivi). Walipomaliza ile picha ikatoweka, na mimi nikasema vijana hawa wameanza usanii hivi karibuni lakini wamestawi sana.
Saa hivi wakati naangalia historia ya marehemu tbc, ile ndoto niliyokwisha isahau ika-flash kwenye kioo cha dirisha. Ndipo nimekumbuka ndoto hii nakuiweka hapa.
Pole Godlv! Ni kweli sio kila mtu alikuwa anamfahamu kanumba.Wengi wameufananisha msiba wake kama wa Michael Jackson.nadhani ulikuwa unamfahamu huyo