Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead


Tukishajua sababu za kifo mjadala utatusidia nini mkuu! he is gone and will never come back again. so painfull.
 
Hivi mmeshajiuliza ni nani aliekuwa akiongea na huyo binti kwa cm kabla ya mtafaruku?think out of de box great thinker..anajckiaje hivi sasa huyo jamaa?
 
Acheni ujinga basi ...
Hata siku wiki haijaisha mmesha anza haya ..
Aibu kwa kweli...
 

Kama lilivyo jina lako, Mbu mbu mbu. Nadhani wewe ndiye Ray, toa hizo earphone masikioni upate akili kidogo.
 
....ni wale watu ambao ukikaa nao jambo dogo kwao tayari mtu anaringa..Inferiority complex
tatizo kubwa sana kwenye jamii yetu,yote aliyosema Ray yeye kanote la lexus tu.

Haya mdandia mada. kipindi chenyewe hukuangalia ulitaka ni 'note nini? wehu wako au ile station label ya clouds tv?
 

tukio la mauaji halikutokea nyumba nzima bali katika chumba. Yawezekana pia hicho chumba kimefungwa kwa uchunguzi zaidi. Nadhani hili hukulifikiria
 
tuache unafiki hili ni fundisho kwa wote hasa sis vidume.....inawezekana baba hakuwa responsible kwajamaa kama ilivyo jadi yetu waafrica....imenishangaza pia....kama umecheck interview TBC1 baba anasema anasuburi wife kasafiri ...wapia watazika kwa babu yake Kanumba mwanza....huku thread 1 humu inaonyesha picha za mama yupo Air port Bukoba anasafiri kuja dar....why not father also? tusubir ukweli mengi yataongewa
 
huyo kanumba ni baba yako au mjomba wako mpaka umwote???
kama umeota mtu subiri ni ndani ya familia yako na akishakufa utufahamishe. nyie watu mliokwenda kunywa kikombe kwa Babu wa loliondo mnashida sana hayo maji mliyonyoshwa na babu yatawasumbua mpaka mkome.
ipo siku utaota unakufa utasema ??? unaleta mambo ya babu wa loliondo hapa au kakutuma????
 
jamani ... kanumba alidai hatumii kilevi cha aina yoyote... Lulu alidai hana mchumba ... yote. yaha waliongea hadharani katika vyombo vya habariv...

kwanini watu wadanganye.. ? nyie wasanii kama swali lipo personal si mkatae kujibu kuliko kijopa mapromo.. ona sasa mnaumbuka...

I hate lies..
 
Tukishajua sababu za kifo mjadala utatusidia nini mkuu! he is gone and will never come back again. so painfull.

Swali lako lina majibu mawili:

JIBU la KWANZA: Hakuna tunaloweza kufanya kuhusu uhai wa huyu ndugu yetu uliopotea. Uhai ni kitu chenye thamani sana duniani kote, haununuliwi kwa pesa yoyote. Ukishpotea, basi ni kweli umekwenda na hakuna namna ya kuurudisha. Hata wauaji wanapohukumiwa kunyongwa, hiyo huwa hairudishi uhai wa waliouwawa na wauaji hao. Kwa hali hiyo, ni kweli kuwa itabidi tuendelee kuomboleza tukijua kuwa huyu kipenzi chetu ndiyo hatunaye tena.

JIBU LA PILI:Tukishajua sababu ya kifo, ndipo tuhukumu kama kimetokana na Lulu au ni cha asili ambacho kingetoea hata kama Lulu hakuwapo. Iwapo itajulikana kuwa kifo hicho kimetokana na Lulu hasi hapo ndipo sheria itachukua mkondo wake dhidi ya huyo Lulu.
 

Wewe ni nani tena unatutabiria bao la ushindi wakati mpira umeshaisha na ushindi unajulikana? Hata Yahya tapeli hakuwa kama wewe! alitabiri kimachale! alikuwa anasoma kwanza picha linakwendaje ndiyo aropoke
 
kakuambia kanumba au???
ni majungu ya mtaani au kakuambia baba yake sasa kanumba kashakufa unamuuliza nani? kwa nini ukumwoliza akiwa hai nyie watu mliokunywa kikombe kwa babu wa loliondo mna shida sana au
kakutuma babu wa loliondo hayo ni mambo ya ukoo hayakuhusu wewe wala ngamia mzee unataka
kuingiza wazee kwenye umbeya kanywe tena kikombe kwa babu mara ya pili


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…