KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,147
malipo ya dhambi ni mauti , mungu ameamua kuwanyoshea kidole wale wote wenye tabia zenye kufanana na hizo za lulu na wengine.Mwenye sikio na asikie.
Usimwamini Binadamu
Rahisi sana kutabiri mechi iliyokwisha kuchezwa.
Mod ondoa ihi kitu plz.cheap popularty
Ha ha haaaaaaaaaaaa yani lengo lako washabiki wa kanumba wawachukie jamaa na kuwa na hasira nao kisa wamemuua kipenzi chao sio?
Acha hizo kifo cha kanumba kimetokana na wivu wa kupindukia wa mapenzi ambao kanumba sio wa kwanza kufa kwa wivu wa kimapenzi.
R.I.P. Brother
hakunaga sifa nzuri kwa mtu hadi Anapokufa.
Binadamu bwana! Ukiweka title ambayo wengi tungeweza kuelewa ina cost nini!
hayo ndo niliyo yasikia kutoka midomoni mwa watu...si mimi