KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,147
malipo ya dhambi ni mauti , mungu ameamua kuwanyoshea kidole wale wote wenye tabia zenye kufanana na hizo za lulu na wengine.Mwenye sikio na asikie.
Kwa muda mrefu nilikua pembeni nikiufuatilia mjadala huu kwa njia ya kusoma tu bila kuchangia chochote,lakini mpaka kufikia hapa page 7 nimeamua kuvunja ukimya niseme tu baada ya kutafakari michango mbalimbali ya wachangiaji wa thread hii nimejiridhisha kwamba KANUMBA hakua akipendwa na watu wengi hapa nyumbani kwao Tanzania