Ngalikivembu
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,959
- 876
RIP Kanumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa misiba hii inampa wakati mgumu kweli JK ..maana atataka kwenda malawi huku nako kanumba..khaaa ..
JK ana wakati mgumu aende wapi kuomboleza malawi au sinza watu wa protokali wanaweza geuza msiba wa kisiasa.
The Great amefariki kwa kuanguka kwa kusukumwa anaezaniwa mpenzi wake Lulu na akaangukia kisogo
View attachment 51178
Kwa habari ambazo kiukweli sina uhakika nazo sana eti Bongo Movie Super Star Steven Kanumba amefariki Dunia usiku wa Ijumaa kuamkia J'mosi. Na mwili wake unapelekwa Muhimbili kuhifadhiwa.
More updates to follow...
- JF has confirmed his death
- Source of his death unconfirmed
- Taarifa ambazo hazijathibitishwa ni kwamba Kanumba alianguka na kuumia kichwani baada ya mpenzi wake ambae anatajwa kuwa ni mwigizaji LULU kumsukuma na kuanguka wakati wanagombana.
Inasemekana Kanumba wakati akijiandaa kutoka saa sita usiku aliingia bafuni kuoga, alipotoka alimkuta Lulu akiongea na mwanaume mwingine kwenye simu ndipo alipokasirika na ugomvi kuanza.- Mwili wa marehemu uko katika chumba cha kuhifadhia maiti hospitali ya Muhimbili.
lakini si aliwahi kusema LULU ni kama mdogo wake..!?