Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

kanumba ni kijana mmoja wa kitanzania aliyechangia kupotosha maadili ya kiafrika kupitia filamu zake za kipuuzi. Huyu mtoto kachangia sana watoto, mabinti na vijana wetu kupotoka kimaadili, hawashikiki nyumbani, hawashkiki shuleni wala kanisani. Watoto wetu walianza mapenzi mapema kupitia filamu za huyu bwana. Ngono imepelekea kifo chake.!
Go to hell you stupidity boy.

kumbe?
 
Prof Mtakyawa wa geology university of Dar na Bingu wa Mthalika wamekufa Leo! Ajabu msiba wa Kanumba umefunika hata msiba wa prof wa mawe

Wote rest in peace

Rt rev masa

they die in threes..... unataka kunambia kwamba haka kamsemo ka free masons kana ukweli ndani yake??
 
...na sharia je, inasemaje?

'mzinifu mwanamke na mzinifu mwanaume mwapigeni kila mmoja ktk wawili hao mijeledi 100 na lishuhudie kundi la waislamu adhabu yao hao wawili (wazinifu) na wala isikushikeni huruma ktk kutekeleza adhabu ya allah ikiwa ninyi mnaiamini siku ya mwisho na mnamuamini mwenyezi mungu!'
 
Good time umekula sana duniani, na Mbinguni tunakuombea ukale good time zaidi.
KanumbaWEB.jpg


leo-4.jpg


kanumba%2Bblog%2Bbanner.jpg



leo-2.jpg

leo-5.jpg

leo-6.jpg


leo-8.jpg


leo-9.jpg


leo-10.jpg


leo-12.jpg


leo-13.jpg


BIG%2BDADY%2Bcopy.JPG



a2%2Bpo%2Bster.JPG


DEVILS%2BKINGDOM%2Bcopy.JPG


a2%2Bposter%2Bcopy.JPG


bill.jpg


This_is_it_POSTER10(Cleared)2.jpg


MORE_THAN_PAIN_POSTER.jpg


Off-Side.jpg




mk1.jpg


mk2.jpg
 
toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndipo utakapoona kibanzi kwenye jicho la mwenzako......

Je wewe umetimiza wajibu wako?
Je unatimiza wajibu wako
je una uhakika kadri unavyoishi unatimiza wajibu wako?
We wako pia umetimiza????!!!
 
Eagle we ni baba? The same Africa? Kama majibu yote ni YES, basi HUTAKI tendea haki jamii,na HUTAKI tendea haki msiba,particularly wa K.A.N.D.U.M.B.A. Kanumba has risen from nowhere,to the heights of fame in the film industry financed by the mindless and futureless people of this expensive nation. Alipofikia na mpk kufia anakuwa celebrated na matahira wachache wa nchi hii. Najua kwmb kabla ya kufa alitakiwa kutuomba radhi kwa kutuletea uvundo kwenye sebule zetu ndogo. Badala ya hilo, BAADHI ya wana jf mnashughulika na MINIATURES. SORRY!
 
Wandugu, watu kama akina Kanumba nchi nyingine huwapa VIP passport na huwa wanapewa mazishi ya Kitaifa, nchi zinazotambua mchango wa wasanii hawa katika kukuza jina la taifa husika katika nchi mbalimbali duniani na hata katika maendeleo ya nchi hasa katika kuelimisha nk

J e kanumba anastahili mazishi ya kitaifa?


Noooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!
 
Toka nimeingia naona kanumba, kanumba..kanumba msaanii..mi hata simjui, yaan nipo ktk hii nchi afu hata cjui kinachoendelea..daa!

Mkuu wewe ni kama mimi nilikuwa simjui
nikauliza badala nijibiwe nikaulizwa raia wa wap?ila nimeona picha zake angalau..ni msanii wa maigizo kama sijakosea.
 
japo ukisemwa ki ubaya,ukishakufa tu,wema wako ndio unajulikana.huyo huyo kanumba walikuwa wakimsema hajui un'geng'e.ooh,movie za ki bongo ni zero kabisa.mpaka blog moja ya nigeria wamesikitishwa na kifo cha kanumba.yeye mwenyewe alisema nabii hakubaliki kwao,ila kifo chake kimewagusa wengi
 
i wish it was a lie and just another movie he is participating, so bad so sad i wish to wake up and find its just a bad dream but he is alive, i wish he just wakes up, life life life, death death death, oh my God its hard to believe, why this time and year, i just pray this year to end as fast as it can, we have had so many loses already, our Good Lord spare us any other pain please,and please comfort us now.
 
kanumba alikuwa msanii wa filamu kazi zake zilikwenda moja kwa moja kwenye jamii hata watoto wadogo wanaangalia filamu. kwa ujumla kazi kubwa ya sanaa ni kuburudisha na kuelimisha jamii bila kujali umri wao wala ujuzi wao Angalia kazi za hao maprofesa ziliishia wapi? jamii inaguswa moja kwa moja? wengi hawamjui labda ya aliyowahi kuwapunguzia ujuzi wake.
Alamsiki
 
Anaenda kupakatwa jela kwa ugali na mchuzi wa harage akajifunze
 
Back
Top Bottom