Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You guys are very funny!! Deni la Kenya linakaribia USD +50Bn halafu mnasema hiyo ni 30%?! Au ni deni gani mnazungumzia manake Wakenya wa JF bhana; sijui mmeishia elimu ya upili!!I Yaani mara nyingi mnaonekana hamna hata uelewa wa mada ambazo huwa mnazileta nyie wenyewe!! Nyie mada mnazoziweza ni za kuweka mapicha from public domains; basi!!
Wenzio huwa wanaokoteza chochote mtandaoni halafu wanakileta humu kama kilivyo bila hata ya kufikirisha akili zao mradi kinawafurahisha,You guys are very funny!! Deni la Kenya linakaribia USD +50Bn halafu mnasema hiyo ni 30%?! Au ni deni gani mnazungumzia manake Wakenya wa JF bhana; sijui mmeishia elimu ya upili!!I Yaani mara nyingi mnaonekana hamna hata uelewa wa mada ambazo huwa mnazileta nyie wenyewe!! Nyie mada mnazoziweza ni za kuweka mapicha from public domains; basi!!
Go read your public records kama hamjakuta deni la Kenya ni almost 60% of the country's GDP!!
Hapo utakuta wametotoa kutoka kwenye ile GDP yao ya magumashi ya $99 bln! Pia GDP Yetu itakuwa $40 bln instead of around $60bln!You guys are very funny!! Deni la Kenya linakaribia USD +50Bn halafu mnasema hiyo ni 30%?! Au ni deni gani mnazungumzia manake Wakenya wa JF bhana; sijui mmeishia elimu ya upili!!I Yaani mara nyingi mnaonekana hamna hata uelewa wa mada ambazo huwa mnazileta nyie wenyewe!! Nyie mada mnazoziweza ni za kuweka mapicha from public domains; basi!!
Go read your public records kama hamjakuta deni la Kenya ni almost 60% of the country's GDP!!
Wenzio huwa wanaokoteza chochote mtandaoni halafu wanakileta humu kama kilivyo bila hata ya kufikirisha akili zao mradi kinawafurahisha,
Tena wala usifikiri labda hii ni Version Tofauti ya Wkenya, Ndio haohao unawakuta hata kule kwenye viforum vyao, Very Ignorant.
OMG! Kenyatta is very genius! I love this old man, and I mean it kwa sababu kama ndivyo, ina maana analea madeni ili kumdondoshea jumba bovu yule atakayefuata kwa sababu Kenyan Public Debt ni kubwa na bado linaongezeka kwa kasi! Madeni kama ya SGR, yanatokana na mradi ambao sio tu hauwezi kulipa deni bali pia unaendelea ku-generate loss!!Tunazungumzia amount ya budget ya hii mwaka ambayo itatumiwa kulipa deni
Hahaa! Unajua zamani sana nilikuwapo Mashada halafu hata cjui kama bado Mashada yenyewe ina-exist!! Baadae nikaona JF Yatosha kwahiyo nina miaka mingi sana sijatembelea kwenye vi-forum vyao!Wenzio huwa wanaokoteza chochote mtandaoni halafu wanakileta humu kama kilivyo bila hata ya kufikirisha akili zao mradi kinawafurahisha,
Tena wala usifikiri labda hii ni Version Tofauti ya Wkenya, Ndio haohao unawakuta hata kule kwenye viforum vyao, Very Ignorant.
Yaani hawa jamaa ni the Biggest Shame in East Africa! Zamani ilikuwa katika kujaribu kuwaelewesha watu Tanzania inapatikana sehemu gani ktk sura hii ya dunia; nilikuwa napenda kusema "upande wa Kaskazini tume-share border na Kenya" lakini tangu wajipe holiday kusherehekea ushindi wa Mmarekani Obama; hapo hapo nikaanza kujiepusha na aibu ya kujihusisha na Wakenya kwa namna yoyote ile!Hapo utakuta wametotoa kutoka kwenye ile GDP yao ya magumashi ya $99 bln! Pia GDP Yetu itakuwa $40 bln instead of around $60bln!
Povu ya nini anaongelea kuservice debt kutoka kwa bajeti 2019 wewe unakuja kupayuka maneno ya debt to gdp ratio,ficha upumbavu alafu si mnaishingi uku mkikariri choir venye hamkopi mnatumia pesa ya "yetu" sasa bajeti yenu karibia nusu inaenda kuservice madeni ...Nani anafaa kucheka mwingine?You guys are very funny!! Deni la Kenya linakaribia USD +50Bn halafu mnasema hiyo ni 30%?! Au ni deni gani mnazungumzia manake Wakenya wa JF bhana; sijui mmeishia elimu ya upili!!I Yaani mara nyingi mnaonekana hamna hata uelewa wa mada ambazo huwa mnazileta nyie wenyewe!! Nyie mada mnazoziweza ni za kuweka mapicha from public domains; basi!!
Go read your public records kama hamjakuta deni la Kenya ni almost 60% of the country's GDP!!
Na ungenisoma kwenye posts zingine kabla hujakurupuka; ungegundua nimezungumzia hata hilo suala la debt servicing! ! In short, hamna kitu hapo! You can even set 5% of the budget ku-service madeni huku ukiacha sehemu kubwa ya deni ikiendelea kuliangamiza taifa! During Mwalimu Nyerere, kwavile alikuwa against Bretton Woods Institutions; hata hiyo 5% alikuwa haweki! Kwa maana nyingine; stahiki yenu ya kuchekwa iko pale pale kwa sababu you guys mna uhaba mkubwa wa maarifa pamoja na umachinoo wenu!!Povu ya nini anaongelea kuservice debt kutoka kwa bajeti 2019 wewe unakuja kupayuka maneno ya debt to gdp ratio,ficha upumbavu alafu si mnaishingi uku mkikariri choir venye hamkopi mnatumia pesa ya "yetu" sasa bajeti yenu karibia nusu inaenda kuservice madeni ...Nani anafaa kucheka mwingine?
We pay more to our creditors despite we have very small debts, but we still build big projects from our own money.Could this be the reason why Danganyikans do not know why Danganyika is the poorest country in the world ? ?
Madeni hayo ni kutoka enzi za Kikwete, yeye na Uhuru Kenyatta sawa sawa, kazi kubwa ni kuzungunga dunia na kutembeza kibakuli, sasa hivi tunakopa kidogo na tunalipa sana ili tumalizie deni na sisi tuanze kuwakopesha wengine, Uganda tumeshawajengea reli.Povu ya nini anaongelea kuservice debt kutoka kwa bajeti 2019 wewe unakuja kupayuka maneno ya debt to gdp ratio,ficha upumbavu alafu si mnaishingi uku mkikariri choir venye hamkopi mnatumia pesa ya "yetu" sasa bajeti yenu karibia nusu inaenda kuservice madeni ...Nani anafaa kucheka mwingine?
Evidence please,mbona deni lenu linapanda kila mwaka badala ya kushuka kama madeni yote ilikopwa na kikwete [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] for once reason kama mtu ako na akili timamu sio kila saa kukariri choir za sisiemMadeni hayo ni kutoka enzi za Kikwete, yeye na Uhuru Kenyatta sawa sawa, kazi kubwa ni kuzungunga dunia na kutembeza kibakuli, sasa hivi tunakopa kidogo na tunalipa sana ili tumalizie deni na sisi tuanze kuwakopesha wengine, Uganda tumeshawajengea reli.
Tumia akili buda, sasa hivi tunakopa lakini sio kama anavyokopa Uhuru Kenyatta, ndio sababu linapanda kwa kasi ndogo sio kama huko kwenu, kumbuka Tanzania deni ni 36% wakati huko kwenu ni 60%, sababu kubwa ya deni la Kenya kufikia 60% ni SGR.Evidence please,mbona deni lenu linapanda kila mwaka badala ya kushuka kama madeni yote ilikopwa na kikwete [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] for once reason kama mtu ako na akili timamu sio kila saa kukariri choir za sisiem
Leta ushahidi deni la kenya lipo 60% to gdp ratioTumia akili buda, sasa hivi tunakopa lakini sio kama anavyokopa Uhuru Kenyatta, ndio sababu linapanda kwa kasi ndogo sio kama huko kwenu, kumbuka Tanzania deni ni 36% wakati huko kwenu ni 60%, sababu kubwa ya deni la Kenya kufikia 60% ni SGR.
Hivi kama Tanzania tungekopa pesa ya SGR, Rufiji hydroelectricity, ununuzi wa ndege za ATCL na ujenzi wa Super highway toka Dar hadi Kibaha, deni lingefikia 80%. Miradi mikubwa yenye kutumia pesa nyingi, ndio inayofanya deni liongezeke kwa kasi, hiyo ndio tunalipie wenyewe, bado tunakopa katika miradi ya kati. Karibuni mjifunze jinsi tunavyodhibiti kupanda kwa kasi kwa deni la taifa.