Tanzanian debt service cost percentage of gdp the highest in EAC

eddy25r

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
902
Reaction score
785
20190613_222215.jpeg
 
49% of tanzanians budget is going to debt service [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wtf
14.5billion *49.6=6billion
 
You guys are very funny!! Deni la Kenya linakaribia USD +50Bn halafu mnasema hiyo ni 30%?! Au ni deni gani mnazungumzia manake Wakenya wa JF bhana; sijui mmeishia elimu ya upili!!I Yaani mara nyingi mnaonekana hamna hata uelewa wa mada ambazo huwa mnazileta nyie wenyewe!! Nyie mada mnazoziweza ni za kuweka mapicha from public domains; basi!!

Go read your public records kama hamjakuta deni la Kenya ni almost 60% of the country's GDP!!
 
Tunazungumzia amount ya budget ya hii mwaka ambayo itatumiwa kulipa deni

Wenzio huwa wanaokoteza chochote mtandaoni halafu wanakileta humu kama kilivyo bila hata ya kufikirisha akili zao mradi kinawafurahisha,
Tena wala usifikiri labda hii ni Version Tofauti ya Wkenya, Ndio haohao unawakuta hata kule kwenye viforum vyao, Very Ignorant.
 
Hapo utakuta wametotoa kutoka kwenye ile GDP yao ya magumashi ya $99 bln! Pia GDP Yetu itakuwa $40 bln instead of around $60bln!
 
Its on the news ...debt service as a percentage of the budget not gdp ...angalia hiyo video kabla utoe povu...mnatumia 49%ya budgeti yenyu mwaka huu kulipa deni la taifa ..kenya ni 30.5%...hakuna aliye ongea kuhusu gdp
Wenzio huwa wanaokoteza chochote mtandaoni halafu wanakileta humu kama kilivyo bila hata ya kufikirisha akili zao mradi kinawafurahisha,
Tena wala usifikiri labda hii ni Version Tofauti ya Wkenya, Ndio haohao unawakuta hata kule kwenye viforum vyao, Very Ignorant.
 
Tunazungumzia amount ya budget ya hii mwaka ambayo itatumiwa kulipa deni
OMG! Kenyatta is very genius! I love this old man, and I mean it kwa sababu kama ndivyo, ina maana analea madeni ili kumdondoshea jumba bovu yule atakayefuata kwa sababu Kenyan Public Debt ni kubwa na bado linaongezeka kwa kasi! Madeni kama ya SGR, yanatokana na mradi ambao sio tu hauwezi kulipa deni bali pia unaendelea ku-generate loss!!
 
Wenzio huwa wanaokoteza chochote mtandaoni halafu wanakileta humu kama kilivyo bila hata ya kufikirisha akili zao mradi kinawafurahisha,
Tena wala usifikiri labda hii ni Version Tofauti ya Wkenya, Ndio haohao unawakuta hata kule kwenye viforum vyao, Very Ignorant.
Hahaa! Unajua zamani sana nilikuwapo Mashada halafu hata cjui kama bado Mashada yenyewe ina-exist!! Baadae nikaona JF Yatosha kwahiyo nina miaka mingi sana sijatembelea kwenye vi-forum vyao!
 
Hapo utakuta wametotoa kutoka kwenye ile GDP yao ya magumashi ya $99 bln! Pia GDP Yetu itakuwa $40 bln instead of around $60bln!
Yaani hawa jamaa ni the Biggest Shame in East Africa! Zamani ilikuwa katika kujaribu kuwaelewesha watu Tanzania inapatikana sehemu gani ktk sura hii ya dunia; nilikuwa napenda kusema "upande wa Kaskazini tume-share border na Kenya" lakini tangu wajipe holiday kusherehekea ushindi wa Mmarekani Obama; hapo hapo nikaanza kujiepusha na aibu ya kujihusisha na Wakenya kwa namna yoyote ile!
 
You guys are very funny!! Deni la Kenya linakaribia USD +50Bn halafu mnasema hiyo ni 30%?! Au ni deni gani mnazungumzia manake Wakenya wa JF bhana; sijui mmeishia elimu ya upili!!I Yaani mara nyingi mnaonekana hamna hata uelewa wa mada ambazo huwa mnazileta nyie wenyewe!! Nyie mada mnazoziweza ni za kuweka mapicha from public domains; basi!!

Go read your public records kama hamjakuta deni la Kenya ni almost 60% of the country's GDP!!
Povu ya nini anaongelea kuservice debt kutoka kwa bajeti 2019 wewe unakuja kupayuka maneno ya debt to gdp ratio,ficha upumbavu alafu si mnaishingi uku mkikariri choir venye hamkopi mnatumia pesa ya "yetu" sasa bajeti yenu karibia nusu inaenda kuservice madeni ...Nani anafaa kucheka mwingine?
 
Na ungenisoma kwenye posts zingine kabla hujakurupuka; ungegundua nimezungumzia hata hilo suala la debt servicing! ! In short, hamna kitu hapo! You can even set 5% of the budget ku-service madeni huku ukiacha sehemu kubwa ya deni ikiendelea kuliangamiza taifa! During Mwalimu Nyerere, kwavile alikuwa against Bretton Woods Institutions; hata hiyo 5% alikuwa haweki! Kwa maana nyingine; stahiki yenu ya kuchekwa iko pale pale kwa sababu you guys mna uhaba mkubwa wa maarifa pamoja na umachinoo wenu!!
 
Could this be the reason why Danganyikans do not know why Danganyika is the poorest country in the world ? ?
We pay more to our creditors despite we have very small debts, but we still build big projects from our own money.

You pay less, but you still borrow more, and you can't pay for your SGR, Hahahahaha, Hahahahaha, Hahahahaha.
 
Povu ya nini anaongelea kuservice debt kutoka kwa bajeti 2019 wewe unakuja kupayuka maneno ya debt to gdp ratio,ficha upumbavu alafu si mnaishingi uku mkikariri choir venye hamkopi mnatumia pesa ya "yetu" sasa bajeti yenu karibia nusu inaenda kuservice madeni ...Nani anafaa kucheka mwingine?
Madeni hayo ni kutoka enzi za Kikwete, yeye na Uhuru Kenyatta sawa sawa, kazi kubwa ni kuzungunga dunia na kutembeza kibakuli, sasa hivi tunakopa kidogo na tunalipa sana ili tumalizie deni na sisi tuanze kuwakopesha wengine, Uganda tumeshawajengea reli.
 
Evidence please,mbona deni lenu linapanda kila mwaka badala ya kushuka kama madeni yote ilikopwa na kikwete [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] for once reason kama mtu ako na akili timamu sio kila saa kukariri choir za sisiem
 
Tumia akili buda, sasa hivi tunakopa lakini sio kama anavyokopa Uhuru Kenyatta, ndio sababu linapanda kwa kasi ndogo sio kama huko kwenu, kumbuka Tanzania deni ni 36% wakati huko kwenu ni 60%, sababu kubwa ya deni la Kenya kufikia 60% ni SGR.

Hivi kama Tanzania tungekopa pesa ya SGR, Rufiji hydroelectricity, ununuzi wa ndege za ATCL na ujenzi wa Super highway toka Dar hadi Kibaha, deni lingefikia 80%. Miradi mikubwa yenye kutumia pesa nyingi, ndio inayofanya deni liongezeke kwa kasi, hiyo ndio tunalipie wenyewe, bado tunakopa katika miradi ya kati. Karibuni mjifunze jinsi tunavyodhibiti kupanda kwa kasi kwa deni la taifa.
 
Leta ushahidi deni la kenya lipo 60% to gdp ratio
 
Back
Top Bottom