Tanzanian doctors sound alarm over hidden coronavirus cases...‘Corona is considered a security issue, not a public health issue’

Mtaani huku habari za COVID-19 watu washazisahau kabisa yani hakuna cha tahadhari


Hawashuhudii maiti zikizagaa mitaani na barabarani?
Maana inasemekana watu wanaugua na kufa sanaaa halafu serikali inaficha, hao watu hawajioni wakiwa katika hiyo hali mpaka watetezi wa uhai wetu ambao kwao vifo vinavyotangazwa ni mob wameamua kutuhurumia na kutusemea..
 



Hata kama sijui kiinglishi hii article imejaa uzushi bwashee
Parliament imekuwa suspended?
Maradhi yaweza fichwa lakini kifo lazima kituumbue
Hamuoni vifo mitaani au Twitter wana nchi yao?
Habari zingine ni za muda zimewekwa kama ndio recent mweh!
Sihasa kwenye kila jambo
Wanasiasa mfe wenyewe tu sasa ili mthibitishe
 

Kumbe wasiojulikana ndiyo wanaotoa takwimu? Kumbe ndiyo wanaompotosha kuwa hili gonjwa ni mabeberu tu wanaomwandama na kuwa hakuna gonjwa hapa?

Labda kumbe anadhani hata kwenye hizo nchi nyingine huu ugonjwa haupo ila anapigiwa kelele yeye tu kwa sababu anaamini katika wakuu yeye ndiyo baba lao?

Kumbe ndiyo maana anavituhumu vyombo vya habari huko nje kuripoti Corona ya Tanzania siyo ile ya kwao huko kama ipo? Kumbe ndiyo sababu anasema hivi ni vita ambavyo vinaelekezewa kwetu?

Kumbe ndiyo sababu akasema vijana nanyi mnapost mno kwenye mitandao? Ya kuwa mnaichafua nchi?

Inawezekana kweli hajui kuwa watu wanakufa.

Labda kalishwa matango pori vilivyo.

Inawezekana je?
 
Mawazo mengine ya kipuuzi kupita maelezo, idadi ya wagonjwa ifichwe ili iweje!.

Hao wazungu wangehangaika na masuala yao kuliko kujifanya wao ndio viranja wa dunia.

Hakuna kinachofichwa Ila hakuna wagonjwa wapya wala vifo tokea Apr 29.

Habari za wanaopatikana na Corona huko mipakani ni njama za mabeberu tu.

Ni kweli haingii akilini kwa nini tufiche?
 
parliament has been suspended following the death of three legislators in quick succession from unknown causes – fuelling speculation over the extent of the outbreak.
You biggest liar and hooligan which parliament has been suspended? You collect information from garbage

If somebody pays you tell him he should sack you for providing them false information.

Parliament is continuing with its business as usual you are wasting your money to pay this conman who gave you this information

You can cross check even with embassies to prove this that the person who sent you this information is a conman who wants to.take money from your wallet !!!
 
Mawazo mengine ya kipuuzi kupita maelezo, idadi ya wagonjwa ifichwe ili iweje!.

Hao wazungu wangehangaika na masuala yao kuliko kujifanya wao ndio viranja wa dunia.
Alisikika mmatumbi mmoja toka pande za kwa Mtogole baada ya kuvimbiwa supu ya mapupu.
 
Mkuu sasa unataka tutumie data za nchi yetu wakati serikali yetu imeamua kuzificha? Lakini pia unadhani strategies za ndugu yetu za mara kujifukiza,mara maombi or mara mitishamba ya Madagascar wakati tabia zetu na mfumo wetu wa kuishi haujabadilika tunaweza kuzua corona isitumakize?
 
Umesoma ukaelewa?
 
Nimeelewa kuwa bunge haliendelei na vikao ?uongo uongo uongo .au kwa kuwa umeandikwa kiingereza ndio unsuoana kuwa ukweli? Binge linaendelea halijawa suspended!!!
Nikuulize Mara ya pili, umesoma na ukamuelewa? Sijasema utafsiri kwa kiswahili, nimeuliza umesoma vyema? Ukaelewa?
 
Hakuna kinachofichwa Ila hakuna wagonjwa wapya wala vifo tokea Apr 29.

Habari za wanaopatikana na Corona huko mipakani ni njaa za mabeberu tu.

Ni kweli haingii akilini kwa nini tufiche?
Nikuulize Mara ya pili, umesoma na ukamuelewa? Sijasema utafsiri kwa kiswahili, nimeuliza umesoma vyema? Ukaelewa?
Watu Wa Kilimanjaro mbona kutwa kuponda serikali ukiwemo wewe na matatizo gani?
 
Watu Wa Kilimanjaro mbona kutwa kuponda serikali ukiwemo wewe na matatizo gani?
Ndugu yangu, acha ukabila! Mimi sijasema kitu chochote hapo zaidi ya kukuuliza tu kama umeelewa! Hicho tu, sijasema Neno lingine
 
Mkuu sasa unataka tutumie data za nchi yetu wakati serikali yetu imeamua kuzificha?
Ugonjwa ni siri ya mtu na daktari na sababu ya kifo ni siri ya MTU na daktari na ndugu zake

Mtu kafa kwa kuharisha au corona sio tangazo la biashara .Wizara ya afya iache kutoa taarifa hizo

Tanzania watu wanakufa kila siku kwa kwa magonjwa yaambukizayo kama kifua kikuu,malaria,ukimwi nk na ,wengine wanakufa kwa kupigwa marungu kwa kufumaniwa nk mbona hawaombi takwimu za kila Siku? Tufike mahali tuseme no to hell with you

Medical ethics zizingatiwe sababu ya kifo ibakie siri ya mgonjwa,daktari na ndugu zake full stop

Serikali acheni kutoa takwimu za Vifo vya corona kila MTU apambane na hali yake nchini kwake
 
Watu Wa Kilimanjaro mbona kutwa kuponda serikali ukiwemo wewe na matatizo gani?

Serikali imepondwa wapi?

U Kilimanjaro umeuona wapi? Au mpaka tuandike kisukuma ndiyo mjue kuwa tunaunga mkono juhudi?

Au kwa bandiko lako wewe ndiyo unayeiponda serikali kuwa inaficha takwimu?

Serikali ikisifiwa unasema inapondwa?

Hiiiii bagosha!
 
Only the first paragraph is enough to tell the degree of your fabrication. The whole thread is a mere fiction and can only be trusted by the iron boys.

Sent using Jamii Forums mobile app
The good thing is that the pandemic does not discriminate when it comes to killing
Even the guy in burigi hideout can catch the disease and the worse can happen
Use your head.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…