Mindi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2008
- 3,523
- 4,992
Ashikilie wapi, Chato?Jiwe shikilia hapohapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ashikilie wapi, Chato?Jiwe shikilia hapohapo
Najua umeelewa maana yangu: kwamba wame-anonymously declare wanachotaka, kama ambavyo mimi na wewe tunafanya hapa!! Tuna sababu zetu ujue, ambazo zinaweza kuwa za kizushi pia, ubinadamu ni kuvumiliana, Lakini nyani huchekana makalio!!Sasa kwa hiyo kila mtu awe anonymous na kusambaza uzushi sio?
Hao jamaa ni wapuuzi tu.Najua umeelewa maana yangu: kwamba wame-anonymously declare wanachotaka, kama ambavyo mimi na wewe tunafanya hapa!! Tuna sababu zetu ujue, ambazo zinaweza kuwa za kizushi pia, ubinadamu ni kuvumiliana, Lakini nyani huchekana makalio!!
Wasamehe!Hao jamaa ni wapuuzi tu.
Hata siwasamehi. Yaani sitaki kabisa kuwasikia.Wasamehe!
Kusamehe ni kanuni ya kujua-free Wewe mwenyewe! Watu kama wale ukiwachukia utajiumiza tu! Samehe kabisa, hata Mbowe na chadema yake, wasamehe tu, alafu baki na msimsmo wako!Hata siwasamehi. Yaani sitaki kabisa kuwasikia.
Mhenga upo?Thanks for sharing Mkuu 🙏🏽
Mhenga upo?
Huyo Mbowe ndio simsamehi kabisaa hata asemeje....hata Mbowe na chadema yake, wasamehe tu,...
😂😂😂! Huendi mbinguni, Magonjwa Mtambuka!!Huyo Mbowe ndio simsamehi kabisaa hata asemeje.
Afadhali.😂😂😂! Huendi mbinguni, Magonjwa Mtambuka!!
It seems people are hired to create fear to the populace. This is fear mongering.What do you get by creating fear out of lies.To me C-19 is a minor disease,a disease which killed 0.000004 of the world pupulation in 2016?Kwa rate ya sasa hata ukiendelea mpaka mwisho wa mwaka hautakuwa umeua watu 600,000!Lakini magonjwa ya moyo yaliuwa 57,000,000 people world wide in 2016.The figure can be >60,000,000 now.Common sense tells me that we should be caring more about heart diseases.So why the huge concern about C-19?There is an agenda and a demonic agenda for that matter.Mnatupigia kelele kwa ugonjwa ambao hata ukijitahidi sana hautaua 60,000 people in Tanzania hata mpaka mwisho wa mwaka!Acheni ujinga.Angalia Magufuli anavyopata praise world wide for his handling of the C-19 crisis.Ninyi ni makarai tu,after all you do not know what C-19 really is,mmelishwa matango.The New Humanitarian
...Amsterdam
The New Humanitarian spoke to five Tanzania-based doctors and medical specialists about the response, either by telephone or email. All only agreed to speak on condition of anonymity, such was their fear of reprisals from a government whose human rights record has worsened in recent years.
“There is no information,” said one specialist, a health adviser to the government in the commercial capital, Dar es Salaam. “This leads to a tremendous amount of rumours and fears among the population – it’s disastrous for this epidemic.”
The adviser, a consultant who is on several working groups in the Ministry of Health, said the outbreak was being treated as “a security issue, not a public health issue”, meaning the health minister did not have the final say.
“Everything that is related to corona is now in the [central] government’s hands,” another health consultant agreed. “There’s tremendous political pressure coming from the president’s office to control all of this.”
Since Tanzania’s first known case of COVID-19 was detected in the northern city of Arusha in March, the government has officially registered 509 positive cases and 21 deaths. But the last update was more than two weeks ago – on 29 April – a point highlighted by the US embassy when it issued a warning to its citizens on Wednesday.
“The risk of contracting COVID-19 in Dar es Salaam is extremely high,” the US embassy statement said. “Despite limited official reports, all evidence points to exponential growth of the epidemic in Dar and other locations in Tanzania.”
A doctor working in a leading private hospital in Dar es Salaam said more than 60 COVID-19 cases had been admitted to his facility by 6 May, a scale that was already straining its services, with staff from all departments being called on to help. “The number of infected people is likely to be multiple times higher than official figures,” the doctor told TNH.
“Despite limited official reports, all evidence points to exponential growth of the epidemic in Dar and other locations in Tanzania.”
Source... Tanzanian doctors sound alarm over hidden coronavirus cases
Mfichaficha maradhi, kilio humuumbua!
President Magufuli has an obligation to lead Tanzania in the fight against COVID-19. He should leave religion to the priests and prioritise saving lives. Anything else would be inhuman. There will be economic repercussions, but as Ghana’s president noted, economies can be resurrected, but dead people cannot.
cheki burundi ndio hawana habari nazo kabisa cheki saa hizi wako kampeni za uchaguzi mkuu
Nilitaja kuwa nchi ambazo haziogopi corona Ni Tanzania na Burundi kutoa mfano wa Burundi Kuna shida gani? Ulitaka nikupigie picha za masoko ya kariako ,buguruni nk?Upumbavu ni kipaji pia. Umetoka andika kua Ghana ni Ghana,hiyo yenu ni Tanzania,ila sasa unakuja na "cheki burundi ndio hawana habari nazo kabisa cheki saa hizi wako kampeni za uchaguzi mkuu".
Kiumbe pekee kisicho na kumbukumbu ni "msukule".
Hata usiwatake wajitoe huko ‘anonymize’ walipo, naamini hata Wewe ‘magonjwa mtambuka’ ni anonymous name!![emoji23] Nashukuru kwa ‘like’, fareplay!
Acha pombe pombe sio chaiYaani humu mkuu,kumejaa misukule na wapumbavu wa kiwango cha 1st class. Mtu utambulisho wake humu ni "Magonjwa Mtambuka, halafu anataka wengine waweke utambulisho wao halisi hadharini,huu kama sio usukule ni nini!!?