Tanzanian lady interview!

Sawa mkuu, naomba kama inawezekana I interview ianze wakati wahusika mpo tiyari ili kuepesha unnecessary convos na kuleta trafficking isiyo na maana
Chakii ni taarifa tu! Si unaona nawe umekuwa informed!?
 
Kwanini unahoji wanawake tu? Unachukua hatua gani kuhakikisha wanakupa majibu ya kweli? So far nilivyofuatilia wawili walikuwa wanakupa majibu ya uwongo, usiniulize ni akina nani ila fahamu hivyo.
Mkuu!
Sio kwamba nahoji wanawake tu ila maybe the time for hosting men is on the way!

Kuthibitisha sex ya mtu ni mtihani sembuse anachohojiwa!?give me a break bro!
 
No one is forced for the interview!
 
Stop being a hater! Haipendezi mdada kuwa Na roho ngumu kiasi hicho!,mmmh! Kazi!
Sasa nime hate nini hapo? Acha Mawazo potofu kukuita MD ndio niwe hater!? Au kusema wadada wa JF wamgekua wamepata kazi ndio kosa la kuniita hater!? Kumbe na wewe sepetu una akili finyu sana, pole na nisamehe Mimi sijawahi kuwa hater wala kumu hate mtu humu JF
 
Nimekuwa nakuona kila post yako kuhusu interview inakuwa Na ukakasi sana!sijajua tatizo ni nini!
Ni ukweli kuwa post yk hiyo imejaa dharau Na kejeli sana,hongera!
 
Nimekuwa nakuona kila post yako kuhusu interview inakuwa Na ukakasi sana!sijajua tatizo ni nini!
Ni ukweli kuwa post yk hiyo imejaa dharau Na kejeli sana,hongera!
Mkuu Samahani kidogo, hao kwenye avatar yako ni puppies wa Rottweilers breed au ni german shepherd?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…