Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu!Kwanini unahoji wanawake tu? Unachukua hatua gani kuhakikisha wanakupa majibu ya kweli? So far nilivyofuatilia wawili walikuwa wanakupa majibu ya uwongo, usiniulize ni akina nani ila fahamu hivyo.
No one is forced for the interview!Tunasubiri ingawa interview baadhi zilizopita ufake ulizidi,,mi nadhani interviewee kuna vitu hawezi Sena kweli lakini sasa inakua too much,,uongo wa makusudi ,,, km mtu hayuko tayari aseme huko huko sio kuja kutuletea dram unless km unawalazimisha
AHSANTEE
Umeniita kwel nimerudMuosha nanii katika ubora wako
Usisahau kutuita
Hamna hata jipya humu ndio mana sijawaitaUmeniita kwel nimerud
Mie mzim bestHamna hata jipya humu ndio mana sijawaita
Mzima lakin
Kama kutakuwa na chochote mtanishtua ngoja niendelee kupuyanga sehemu zingine [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Hamna hata jipya humu ndio mana sijawaita
Mzima lakin
Usikonde kabisa,siwezi wasahauKama kutakuwa na chochote mtanishtua ngoja niendelee kupuyanga sehemu zingine [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Ok maeUsikonde kabisa,siwezi wasahau
Yes, hakika!Chakii ni taarifa tu! Si unaona nawe umekuwa informed!?
mis u 2.... Leo umetuchomesha mahindi tunasubiri mgeni.[emoji23] [emoji23] baby miss you!
Sasa nime hate nini hapo? Acha Mawazo potofu kukuita MD ndio niwe hater!? Au kusema wadada wa JF wamgekua wamepata kazi ndio kosa la kuniita hater!? Kumbe na wewe sepetu una akili finyu sana, pole na nisamehe Mimi sijawahi kuwa hater wala kumu hate mtu humu JFStop being a hater! Haipendezi mdada kuwa Na roho ngumu kiasi hicho!,mmmh! Kazi!
Nimekuwa nakuona kila post yako kuhusu interview inakuwa Na ukakasi sana!sijajua tatizo ni nini!Sasa nime hate nini hapo? Acha Mawazo potofu kukuita MD ndio niwe hater!? Au kusema wadada wa JF wamgekua wamepata kazi ndio kosa la kuniita hater!? Kumbe na wewe sepetu una akili finyu sana, pole na nisamehe Mimi sijawahi kuwa hater wala kumu hate mtu humu JF
Mkuu Samahani kidogo, hao kwenye avatar yako ni puppies wa Rottweilers breed au ni german shepherd?Nimekuwa nakuona kila post yako kuhusu interview inakuwa Na ukakasi sana!sijajua tatizo ni nini!
Ni ukweli kuwa post yk hiyo imejaa dharau Na kejeli sana,hongera!
.Mkuu Samahani kidogo, hao kwenye avatar yako ni puppies wa Rottweilers breed au ni german shepherd?
Jumapili tulivu. Tukamshukuru Muumba kwa kutupatia uzima wa afya na roho.