Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameridhia usaili?Pouwa
Kwanini unahoji wanawake tu? Unachukua hatua gani kuhakikisha wanakupa majibu ya kweli? So far nilivyofuatilia wawili walikuwa wanakupa majibu ya uwongo, usiniulize ni akina nani ila fahamu hivyo.Habarini!!
Kesho jumamosi mida ya jioni tutakuwa Na interview Na bibie Tanzanian lady!
Asanteni!.
bila shaka Mimi simo kwenye hao wa uongo??Kwanini unahoji wanawake tu? Unachukua hatua gani kuhakikisha wanakupa majibu ya kweli? So far nilivyofuatilia wawili walikuwa wanakupa majibu ya uwongo, usiniulize ni akina nani ila fahamu hivyo.
Ha ha ha sio kwa kujishtukia huko...bila shaka Mimi simo kwenye hao wa uongo??
Tutajuaje?bila shaka Mimi simo kwenye hao wa uongo??
The bold kitamboNa The Bold.
Ndyo wewe haupobila shaka Mimi simo kwenye hao wa uongo??
Si useme tu ni Lara1 ...Juzi kati kuna interview ya mtu fulani hapo majibu aliyokuwa anatoa nikawa nasikitika tu..Usiniulize ni nani