Tanzanian lady live interview on muosha rungu show!

Kila kitu hutaki hee!
Una mchukulia nani kuwa role model wako!
Kwann yeye
Yea some questions achana nazo kiusalama zaidi.
My role model ni mama yangu mzazi natamani siku moja niwe kama yeye

Kwa sababu ni mwanamke jasiri,mpambanaji, mwenye upendo kwa kila mtu.
 
Nayo biashara pia ingawa hailipiwi kodi[emoji23] [emoji23]
Aseme ili mumshambulie humu [emoji23] [emoji23] [emoji23] JF sio kwa kujipendekeza kiasi hiko maana kibao hakikawii kumbadilikia msema kweli
 
Dawa ni kuish utakavyo si watakavyo!
 
Alhamdullilah wote ni wazima,mambo yalinibana kiasi maana huku familia huku kazi basi taflani
Usijali dada ake nafurahi kusikia hivyo.

Na nafasi inapopatikana kama hivi hatuna budi kujuliana hali zetu.

Uwe na siku njema dada.
 
Tz lady...
1. jambo gani baya lishakutokea na kukuumiza/kukugharimu fedha na hutamani likutokee tena ?
2. umesema unasoma, nn mtizamo wako khs ajira ? umejiandaa vp na hii changamoto ?
3. ni kipindi gan penzi lako liliyumba/lilipata msukosuko, nn sababu na ulisolve vp ?
4. ukipewa dakika tano za kuongea na mh samia ungemuomba au kumshauri nn khs maswala ya wanawake ambayo unaona hayako sawa?
5. naamini utakua muumini wa dini fulani, je muda wako unautumia vyema kumkumbuka muumba wako ?
6. kwa umri huo wa 26, ni kiasi gan cha pesa ushakimiliki ambacho unadhani ni kukubwa ? ulikipate? sio za kuhongwa
7. kwa mujibu wa maelezo yako uko nje ya nchi, ni fursa zipi umeziona huko ambazo kwa mtazamo wako kijana wa kitanzania anaweza kuzichangamkia na kujikwamua kiuchumi ?
8. kwa ujumla maisha ya huko ulipo na ya tz ni yepi yana unafuu... hapa namaanisha gharama za maisha kwa mwananchi wa kawaida

_salute_
 
Kuna siku nilimwazima mtu wa karibu yangu ela kama m.7 ambayo ndo nlikuwa nimejiwekea kama akiba ambapo aliniahidi after two days angerudisha.baada ya kumpa kesho yake akaondoka akaenda nchi nyingine na tokea hapo sikumpata hadi leo kiliniuma sana.

Sina mpango wa kuja kuajiriwa baada ya masomo nimepanga kujiajiri.

Sina idea sana na kujua mambo mengi ya huko hasa ya kisiasa kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom