Ninachokupendea Mdogo wangu hupendi stress za mitaani kwenu,bora tushinde humu wallah kuliko kushinda mitaani tupite kimya kimya teh teh tehNipo shouger napita kimya kimya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] DJ muache mtoto wa watu akikwambia anauza papuchi ndio utafurahi hahahaKila kitu hutaki hee!
Una mchukulia nani kuwa role model wako!
Kwann yeye
Yea some questions achana nazo kiusalama zaidi.Kila kitu hutaki hee!
Una mchukulia nani kuwa role model wako!
Kwann yeye
Kabisa dada ake.Ninachokupendea Mdogo wangu hupendi stress za mitaani kwenu,bora tushinde humu wallah kuliko kushinda mitaani tupite kimya kimya teh teh teh
Aseme ili mumshambulie humu [emoji23] [emoji23] [emoji23] JF sio kwa kujipendekeza kiasi hiko maana kibao hakikawii kumbadilikia msema kweliNayo biashara pia ingawa hailipiwi kodi[emoji23] [emoji23]
Alhamdullilah wote ni wazima,mambo yalinibana kiasi maana huku familia huku kazi basi taflaniKabisa dada ake.
Kitambo sana sijakusabahi dada mzima weye, shemeji na watoto?
Usijali dada ake nafurahi kusikia hivyo.Alhamdullilah wote ni wazima,mambo yalinibana kiasi maana huku familia huku kazi basi taflani
Aseee ume-cum?!Nimecum eenhee
Ndio mkuu ni jina na haki miliki kabisaJina lako tu kichwa kichafu
Cum kijeruman ni come usikariri maishaAseee ume-cum?!
?! Hizi alama kwako hazina maana....Cum kijeruman ni come usikariri maisha
Kuna siku nilimwazima mtu wa karibu yangu ela kama m.7 ambayo ndo nlikuwa nimejiwekea kama akiba ambapo aliniahidi after two days angerudisha.baada ya kumpa kesho yake akaondoka akaenda nchi nyingine na tokea hapo sikumpata hadi leo kiliniuma sana.Tz lady...
1. jambo gani baya lishakutokea na kukuumiza/kukugharimu fedha na hutamani likutokee tena ?
2. umesema unasoma, nn mtizamo wako khs ajira ? umejiandaa vp na hii changamoto ?
3. ni kipindi gan penzi lako liliyumba/lilipata msukosuko, nn sababu na ulisolve vp ?
4. ukipewa dakika tano za kuongea na mh samia ungemuomba au kumshauri nn khs maswala ya wanawake ambayo unaona hayako sawa?
5. naamini utakua muumini wa dini fulani, je muda wako unautumia vyema kumkumbuka muumba wako ?
6. kwa umri huo wa 26, ni kiasi gan cha pesa ushakimiliki ambacho unadhani ni kukubwa ? ulikipate? sio za kuhongwa
7. kwa mujibu wa maelezo yako uko nje ya nchi, ni fursa zipi umeziona huko ambazo kwa mtazamo wako kijana wa kitanzania anaweza kuzichangamkia na kujikwamua kiuchumi ?
8. kwa ujumla maisha ya huko ulipo na ya tz ni yepi yana unafuu... hapa namaanisha gharama za maisha kwa mwananchi wa kawaida
_salute_
Sidhani kama zina maana sana?! Hizi alama kwako hazina maana....
Maana yake ni swali. Jibu lake ni hilo ulikosema cum=come kijerumani. Habari ya kukariri maisha was unnecessary.Sidhani kama zina maana sana
Kila nikisoma yule dada alieolewa na mtoto wa 'pm' nakukumbuka wewe.Alhamdullilah wote ni wazima,mambo yalinibana kiasi maana huku familia huku kazi basi taflani
Usijieleze sana..chillMaana yake ni swali. Jibu lake ni hilo ulikosema cum=come kijerumani. Habari ya kukariri maisha was unnecessary.