Tanzanian lady live interview on muosha rungu show!

No. Nilikusoma tu ulivyokkuwa na uhakika Z kaolewa kwenye familia bora sasa nimekuja kusoma humu kumbe ni usanii tu.
Usanii UPI? Kuna nani hapeni kusogelewa na uwaridi na yeye anukie? Kufahamiana tu na familia ya Waziri mkubwa ndio ndoto ya watanzania wengi kumbuka kila mtu ana TBT kwa hiyo TBT za shaban zisikutishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…