Tanzanian made clean animations

BIG UP SANA MKUU UNAONYESHA UWEZOMKUBWA. Swali; je unatumiaje kipaji chako kujipatia kipato pia nini malengo yako ya baadae?
Shukran sana kaka, kujibu swali lako kwa sasa naingiza kipato kwa kufanya matangazo kwa njia ya animation (kama hii ni moja wapo iko kwene page kule: Instagram video by GCC Studios • Mar 15, 2016 at 12:37pm UTC)!!
Malengo ni kuwa na shows running on TV, i have great stories (with my partner ol together). Ofcuz mkuu na kupata kipato kikubwa zaidi pia ni moja ya malengo ya kila kijana😀😀
 
Poa poa kaka, tutachekiana man
 
Good Guy bravo
pale Jamaa alipoicharanga helicopter umeniacha na kile kigiza. .... nasubiri hiyo tale of kijenge .... nice work mkuu

My advice. Unaonaje ukiwa unatupia rangi zetu za kiafrica (ingawa wengi hawazipendi)

Tumia scene zetu pia tunazo madhari nzuri italeta kautofauti na zile za wenzentu.

Bado nasubiri kuziona kupitia cartoon network, boomerang etc
 
haha point taken bruv
 
Keep up the good job nimeamini watanzania tunaweza!!!!
 
Salaam wanajukwaa. Ni muda mrefu umepita sijapost nyuzi humu kwenye jukwaa, nmekua nimebanana kidogo kutekeleza kauli mbiu ya muheshimiwa raisi. Its a struggle indeed. Ive been working on this thing for years na one of my colleague. Na sasa imekamilika nikaona ni vema niwashirikishe maana huku ndo nilikoanzia tangu enzi zile za stick fights to now.
---
ANIMATION: TALES FROM KIJENGE
RELEASE DATE: 27th JANUARY 2017 (this friday)
---



Please visit our Facebook page and instagram and follow us there for more information and posts related to the animation, i'd appreciate it.

INSTAGRAM: GCC Studios (@gcc_studiosx) • Instagram photos and videos
FACEBOOK: GCC Studios | Facebook

Hii ijumaa ntaiweka on our youtube channel hii (GCC Studios)!!
Subscribe usikose kuiona as well.
---
It's a story that me and my friends came up with, about ancient Africa ikielezea the gods that created and ruled over Africa miaka ya zamani sanaaa, lakini hii historia imepotea kwenye vitabu vya historia na ndo maana hatuijui. Hii animation ni part one na inaendeleaa ndani zaidi katika sehemu inaitwa "Kijenge" in Africa (aka Tanzania kama tunavoijua leo) na kuelezea zaidi namna vita na mikwaruzo ya miungu inavyoingiliana na maisha ya "Kijenge"!! Im very excited and cant wait to release it out, natumai you guys mtaipenda. Nikirelease will also come back to remind you.
Kama kuna comments, or anything nitafurahi sana kuziskia wakuu. Shukrani.
--
UPDATE: ITS OUT ALREADY
.
--
--
SOUND TRACKS
--
--

cc: Chief-Mkwawa kadoda11 Magembe R. Malima Maxence Melo wickerman Nyasiro gwijimimi Stephano Mtangoo , Dreamchaser Invisible
---------
ARTWORKS



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…