Salaam wanajukwaa. Ni muda mrefu umepita sijapost nyuzi humu kwenye jukwaa, nmekua nimebanana kidogo kutekeleza kauli mbiu ya muheshimiwa raisi. Its a struggle indeed. Ive been working on this thing for years na one of my colleague. Na sasa imekamilika nikaona ni vema niwashirikishe maana huku ndo nilikoanzia tangu enzi zile za stick fights to now.
---
ANIMATION: TALES FROM KIJENGE
RELEASE DATE: 27th JANUARY 2017 (this friday)
Please visit our Facebook page and instagram and follow us there for more information and posts related to the animation, i'd appreciate it.
INSTAGRAM:
GCC Studios (@gcc_studiosx) • Instagram photos and videos
FACEBOOK:
GCC Studios | Facebook
Hii ijumaa ntaiweka on our youtube channel hii (
GCC Studios)!!
Subscribe usikose kuiona as well.
---
It's a story that me and my friends came up with, about ancient Africa ikielezea the gods that created and ruled over Africa miaka ya zamani sanaaa, lakini hii historia imepotea kwenye vitabu vya historia na ndo maana hatuijui. Hii animation ni part one na inaendeleaa ndani zaidi katika sehemu inaitwa "Kijenge" in Africa (aka Tanzania kama tunavoijua leo) na kuelezea zaidi namna vita na mikwaruzo ya miungu inavyoingiliana na maisha ya "Kijenge"!! Im very excited and cant wait to release it out, natumai you guys mtaipenda. Nikirelease will also come back to remind you.
Kama kuna comments, or anything nitafurahi sana kuziskia wakuu. Shukrani.
cc:
Chief-Mkwawa kadoda11 Magembe R. Malima Maxence Melo wickerman Nyasiro gwijimimi Stephano Mtangoo ,
Dreamchaser Invisible
---------
ARTWORKS
View attachment 463293 View attachment 463295 View attachment 463296 View attachment 463297 View attachment 463298 View attachment 463299 View attachment 463300
View attachment 463301 View attachment 463302 View attachment 463303 View attachment 463304 View attachment 463305 View attachment 463306 View attachment 463307 View attachment 463308 View attachment 463309 View attachment 463310