Tanzanian made clean animations

Just updated the thread with 2 very captivating Sound tracks we made specially for this animation. Hazina majina bado feel free kutoa suggestions. πŸ˜€πŸ˜€
--
1st track
.
---
2nd track
.
 
Just updated the thread with 2 very captivating Sound tracks we made specially for this animation. Hazina majina bado feel free kutoa suggestions. πŸ˜€πŸ˜€
--
1st track
.
---
2nd track
.
Soundtrack ziko poa sana,
Big up sanaaa mkuu!!!!
 
kama nikihitaj mafunzo ya animation mpangilio wa mafunzo unakuwaje nipo moro kwa sasa
 
kama nikihitaj mafunzo ya animation mpangilio wa mafunzo unakuwaje nipo moro kwa sasa

Hello mkuu. Kwa sasa hatujafikia hatua hiyo meaning ni jambo ambalo bado hatujaliwekea mpangilio, unaweza wasiliana nasi zaidi kwenye pages za instagram au facebook kujua ni maswala gani tunayatoa na kuyafanya kwa sasa.
Apologies for a late reply also
 
I am a new instructor of Motion graphics design & visual effects in movies and games, i do animation films for more detals call me on this number 0717 238773
 
I am a new instructor of Motion graphics design & visual effects in movies and games, i do animation films for more detals call me on this number 0717 238773
Thanks, will do.
 
Hi everyone. Nilipokea challenge hii ya kutengeneza filamu fupi ya dk 1 inayohusu chochote kile ila lengo kuu ikionyesha mafanikio ya Jumuiya ya Afrika mashariki.

Niliwaza wazo na hii ndio 'filamu' yenyewe niliyokuja nayo. Let me know what you think.

Thanks

Iko poa pale lile wingu la umaskini mbona ukaweka na elimu wamaanishi?!

Asante mkuu. Tuna matatizo mengi sana, elimu bado ni mojawapo tangu enzi za mwalimu. Idadi ya wanafunzi wanaokosa elimu ni kubwa, lakini pia hata hao wanaoenda mashuleni hawapati elimu bora, takwimu zinaonyesha nusu ya wanafunzi wanaomaliza darasa la saba hawawezi hesabu za darasa la pili na karibu nusu hawawezi kusoma. Ndiyo maana nikaweka elimu hapo.
 
Basi usingeandika elimu ungeandika ujinga ambao elimu ndio suluhisho lake.
 
Naweza kutumia cm, ku create animation videos?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…