Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
True bro, i worked with 3D a while back ila ikawa 2 over whelming for me!!unakoelekea ni kutengeneza za 3D na ukishafanikiwa hilo utaweza kupata mkwanja mkubwa sana kwa kutengeneza vipindi na program zenye malipo makubwa
stick to 2d kwanza, for a whileTrue bro, i worked with 3D a while back ila ikawa 2 over whelming for me!!
Nna plans za kujump in again!!
Thanx 4 the comment to 🙂
Big thanks Chief, mwishon tried putting anime taste (eyes thing), just trying different things!imefikia quality kama ya anime za kijapan hapo inatosha kabisa. mimi naprefer 2d over 3d, maana 3d huwa inaniumiza kichwa kuna wakati nasikia kutapika kabisa. kinachotakiwa sasa hivi ni kupata tu stori nzuri
Good Guy samahani kwa kuchelewa kucomment.nilitazama kazi yako jioni nikiwa barabarani kurejea nyumbani.sasa ndio naitazama kwa utulivu zaidi.hakika unazidi kuimprove.nimependa concept yako.hongera kaka.
Good job Mkuu.......unatumia software gani.......jaribu pia toon Boom Studio ina vitu vya kweli zaidi.
mr. Good Guy mie bana nimefurahishwa na improvements, we jamaa na mr. wickerman asee siku moja ntakaa muwe waalimu wangu
:focus: nimefurahishwa sana asee kutoka stick figures mpaka hii kitu, hongera sana, nimependa audio/visual sync imeenda poa,
ila mwanzoni yale maneno hujachagua font ya kipolisi si unajuaga zile font, halafu kungekuwa au kama utatengeneza moja ya kiswahili, itanoga zaidi
ila hapo ulipofikia nakushauri anza kutengeneza stori za dakika kumi