ANIMATION
Nimependa speed na timing, kwa maana kasi inaongezeka ama kupungua tegemeana na kitu gani kinasisitizwa.. ngumi ya jamaa mweusi inakuwa zoomed ili kupata picha ya kasi yake.. fantastic!!! Nimependa uzungukaji wa feni na kudondoka kwa picha ya ukutani. 95%
SOUND
Sina cha kukosoa. Imeendana vizuri na vitendo kwa maana ya timing na kwa ujumla ni sound sahihi, ngumi inalia kama ngumi na si chuma. Safi pia. 95%
STORY
Story inaeleweka na inachekesha kwa kiasi fulani hivyo ni rahisi kumvuta mtu kutazama. 80%
DRAWINGS/ENVIRONMENTS
Eeeeehh!! Mhh!! Bado, naona ule mpango wako wa picha za kuchora zilizobora zaidi ya stick figures umeuacha. Ndiyo kikubwa kinachokosekana hapa. Ukiachana na watu/characters objects zingine ziko poa eg picha za ukutani zina watu kabisa...satellite...dunia.. characters bado!! 55%
KWA UJUMLA
Kazi nzuri hasa kwenye animation na sound design/timing. Fanyia kazi michoro ukiweza.
Thanks bruuf, asante sana!! Something really cool itakuja with background story hiv cool graphics and stuff, i believe itakua better!!Some like daat...:rockon:Nice work homie, yaani una-improve kila siku. Na nimependa kitu kimoja, kwamba kazi yako ipo unique sana. Yaani unaandaa idea na kuipresent katika outstanding presentation. Kitu kimoja kitakachopolish kazi yako zaidi ni graphics, ni vizuri ukaendelea na 2D animation ulizokuwa umezipesent katika kazi iliyopita. Nilichopenda zaidi ni moves na sound effects. It's priceless. Unlike watu wengine, mimi napenda short animations. Ni hayo tu kiongozi. Let the hustle continue...
ISO M.CodD Shukran 4 the comment kaka, nd really glad u liked it!!:yo::smile-big:Thats some real good shit right there.....