Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiswahili version ntafanya ila baada ya baadhi ya English stories kwanza, nipate coverage kubwa. Maana kaka sema kweli guys nje nikiwa naweka stuff mitandaoni wanatoa big support ila nikifanya za kiswahili wabongo wanasema ndo poa sawa ila hawaonyeshi any support. Sipendi ila ndio ukwel, lakini bado ntafanya swahili vesion tu badae. Shukrani kwa comment mkuu.Safi ila ungetumia kiswahili ingekuwa safi zaidi.
Hello BabaTina, shukrani kwa ushauri huo. Tuna stories we plan to release to the media ila we'are still trying to raise funds to cover costs na pia kupata vifaa vitakavowezesha uzalishaji wa haraka na fanisi zaidi. Japo support ni ndogo mkuu ila ndo ivo tunajikongoja kidogo kidogo, hopefully tutafika!!Mr Good Guy kwann usifanye project ya series ya animation zenye episode za dk15 ama ishirini seriously na kuziuza kwenye station Tv au unatafuta udhamini katika sekta binafsi na kufanya kitu kama icho....lugha iwe ya kiswahili i think hapo ndipo TV zetu kwa kiasi kikubwa tunalack
This is a compilation vid of the animations ive been doing with my buddy and some of the Exclusive stories we expecting to release this coming year. Hope you all like it.
----
[video=youtube;ZUmgEyMjx1I] utu.be[/video]