Tanzanian most successful women under 40

Majibu yamekaa kichovuchovu..haya''inspire'' kabisa....
Taja nani,,anafanya nini na kastory kidogo behind her success....
 
Senior internal auditor wa Tanesco ni mdada.

Badra masoud pia wa Tanesco ni kati ya wanawake waliofanikiwa kupenya ktk system wakiwa na umri mdogo
 
JINA: Dida
Kazi: Mtangazaji /Mjaasiriamali
Raasilimali alizonazo : Nyumba 2 za Ghorofa na Magari kama sita hivi vinavyoonekana , Visivyoonekana nadhani ni vingi pia
 
dida nyumba za ghorofa wakati anakaa nyumba ya kupanga mwananyamala?
Au hapendi kukaa huko ghorofani? Hebu acheni kutudanganya jamani wakati watu tunaishi nao katika jamii hii hii
 
Senior internal auditor wa Tanesco ni mdada.

Badra masoud pia wa Tanesco ni kati ya wanawake waliofanikiwa kupenya ktk system wakiwa na umri mdogo
Senior internal auditor!!? KuanIa lini!? Huyu si public relations officer!!
 
No hao ni watu wawili, Badra ni public relation ndiyo

Huyo Senior auditor jina lake gumu gumu hiv Bt ni mdada pia
 
Senior internal auditor wa Tanesco ni mdada.

Badra masoud pia wa Tanesco ni kati ya wanawake waliofanikiwa kupenya ktk system wakiwa na umri mdogo

Pia ni msemaji wa Wizara ya Nishati na Madini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…